Hustla Lyrics

Let the money tak mi sisemi kitu ka Rashid
Hey child, destiny hauwezi rush it
New money garage ni new mustang
Zakayo must go na you must cum
Malo malo ghat parking new maskan
1 million, 2 million, 3 million, 4
Gani hiyo nini hiyo nini mnanishow
Cigars na Pablo pale la
Hapa remy martin na pale bel air
Pesa ikipotea akili tu ndio inarudi
Pesa inanipenda tu sina budi
Man anafanya whatever for money
Haucheka jokes zangu na ata si funny
Maziwa refu lakini sitatoboka
Michuki notes bana socks imetoboka
Leta nyef nyef tunaguza murima
Nikupatie tu hivyo na vile nimejinyima
Vile nimejinyima
Nikupatie tu hivyo na vile nimejinyima
Jua mi ni hustla
Na sio huyo ruto mnaonanga kwa telly
Jua mi ni hustla
Hustla hustla wa kweli
Jua mi ni hustla
Na sio huyo ruto mnaonanga kwa telly
Jua mi ni hustla
Hustla hustla wa kweli
Ukiniona nime toka keja
Lazima jioni ni rudi na dema dema
Na ni ngumue nikuwe mteja
Juu ni mimi ndo nauzanga izo vela vela
Juu ya mduthi na kibegega
Ustake jua nini nimebeba beba
Ka ni cheese me najua cheddah
Dreams mingi ni vile usingizi hatujapenzi
Sitawai change
Heustler for life mimi sitawai change
Sitawai change na pia sikai same
Choma ndom yako mimi sidai chain
Hi maisha nj moja buda jifurahishe
Nitasema sina atakama me nina doh
Bebwa ufala but usibebwe na wheel barrow
Kunitafta ni kama kuwinda God
Eeh wee ni hustler
Jua mi ni hustla
Na sio huyo ruto mnaonanga kwa telly
Jua mi ni hustla
Hustla hustla wa kweli
Jua mi ni hustla
Na sio huyo ruto mnaonanga kwa telly
Jua mi ni hustla
Hustla hustla wa kweli
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
SCAR MKADINALI
Kenya
Scar Mkadinali is a Kenyan hiphop artist from Wakadinali.The biggest hiphop group in Kenya base ...
YOU MAY ALSO LIKE