Home Search Countries Albums

KEBS Lyrics


Umezoeshwa vibaya ndo huji wezi
Unaskiza jamaa mbaya bana very true
Nawashika bila kuwa valia navy blue
Malaika inani show umeweka mapenzi juu (yeah)

Rumors za ma scandal za ulover na lady drama
Na ati statoe mahali ukona baby mama
Kwa mitandao kilasiku ni story new
Bundless zako zikiisha utapitwa uspo renew
Kaapedi niko chini yaw aba lea dredi zinafungwa juu
Naishi mahali juu kaa anga
So daily na enjoy the view

Ukitaka kuona roho chafu
Shika doe kidogo uone vile utaboo watu
For 10 years hamkuwa mnajali mahali ninalala
He screw driver yangu ni shimo gani ina screw
Mtu mahali ameamua hata lala salama
Kabla ahakikishe ameambia watu Nyash anajiduu
Staki kuona watu wakiku celebrate
Role model na watoi wanaku imitate
Haumangi pekee yako tuna split hii plate
Au tuku trendishe vile tulifanya Jimmy Gait
Hii industry ina madi uko sure unataka fame
Pengine ndio maana siblend in ju
Unaeza tell kuna vile mi na hao hatuko same
Mi si ng’ombe yako ya gredi du

Umezoeshwa vibaya ndo huji wezi
Unaskiza jamaa mbaya bana very true
Nawashika bila kuwa Valia navy blue
Malaika inani show umeweka mapenzi juu
(KEBS!) Standard ya quality sisi hapa
(KEBS!) Hmm hii ndio standard ya quality..;
(KEBS) Hahahaha (KEBS)

Nawasjia mkiongea naamua kukaa kimya
Naona far kaa twiga
Au kaa mjinga
Ama bouncer au napima
Wazimu nawazima kwa simunna ya sima
Ya mchuzi ndio sina

You can’t believe all this bullshit you’re reading
You can’t be really considering singing
Big fat cheque for Nyashinski though
Ata ka mungu pekee haikuwa na video
Ana ngoma tatu pekee tumwitie nini show
Naskia kwenda mainterview anaitisha millioni
You can’t believe all this bullshit you’re reading
You can’t be… You can’t be…
You can’t be serious
You can be anything you wanna be
A drug addict (you drug addict)

Nyumba runda bado tuni fantasy
List ni watu wawili mi na king wa South C
Nikipenya mnapenya but your eyes can’t see
Uko busy tu kwa group tu hating on me
Eti oh he has a big E.G.O
He refused to follow me on IG
I’m not voting

God bless you even before you sneeze
It’s a free country you can do as you please
Nikiamka Sunday nijipate on my knees
Ntakuwa nasema ansate sio please

Umezoeshwa vibaya ndo huji wezi
Unaskiza jamaa mbaya bana very true
Nawashika bila kuwa valia navy blue
Malaika inani show umeweka mapenzi juu

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : KEBS (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

NYASHINSKI

Kenya

Nyamari Ongegu aka Nyashinski ( Born on 8th April 19' )  is a Kenyan musician and rapper ba ...

YOU MAY ALSO LIKE