Fisi Hatari Lyrics
Mi ni girimba kuwasuka na kuzega
Jo ni sare kwa sare(Sare)
Hawa madem nikiteka mi huwadema buda
Jo hadi ngware mangware(Gware)
Nimesunda taxin toka juzi
Nina kunyu nare hatari(Tare)
Nikisuka sikufichi mi ni fisi
Mi ni fisi hatare
Mi ni fisi hatare
Sare kwa sare
Mi ni fisi hatare
Ngware mangware
Mi ni fisi hatare
Nare hatari
Mi ni fisi hatare
Fisi hatare
Toto si toto kumbe toto ni mokoro
Moshi puff pass kumbe hizo ni makoro
Kemba teka zega, kejani ni watoto wamekam
Wako kutu nawapiga mausoro
Tepa tembla zao za kichingi na ogoro
Na kama si kachodo buda zega hadi moro
Nadunga masilver sidungagi magoro
Na kama inakubamba buda jo sema Roro
Mi ni girimba kuwasuka na kuzega
Jo ni sare kwa sare(Sare)
Hawa madem nikiteka mi huwadema buda
Jo hadi ngware mangware(Gware)
Nimesunda taxin toka juzi
Nina kunyu nare hatari(Tare)
Nikisuka sikufichi mi ni fisi
Mi ni fisi hatare
Mi ni fisi hatare
Sare kwa sare
Mi ni fisi hatare
Ngware mangware
Napenda kukiwasha ka nina mamorio
Mabang'a wakikam ni kuzimaga ma corridor
Kiwashe tukiburn kinyongi ndani ya kichwa
Sipendi kondole mi hugonga bila ngori
Jo kasoccer kwa bedii madimba na mashoti
Kasolar kubleki madiva nawanoki
Nasuka natunza marungu nazamisha
Nasunda na pupa iking'ora lazimisha
Nakula na kutupa machozi anazidisha
Aluta na machupa manjoti nazidisha
Na chuma ka ya punda nagonga nanyambisha
Chuma kanachuna majegi nalalisha
Mi ni girimba kuwasuka na kuzega
Jo ni sare kwa sare(Sare)
Hawa madem nikiteka mi huwadema buda
Jo hadi ngware mangware(Gware)
Nimesunda taxin toka juzi
Nina kunyu nare hatari(Tare)
Nikisuka sikufichi mi ni fisi
Mi ni fisi hatare
Mi ni fisi hatare
Sare kwa sare
Mi ni fisi hatare
Ngware mangware
Mi ni fisi hatare
Nare hatari
Mi ni fisi hatare
Fisi hatare
Natambua nikichana mi niko mogoka
Kazua kakikaza kamanzi nakashotha
Naua niking'ara kwa mkono nina mbota
Majua niking'ada mamorio nawagota
Msupa nina kutu mi nadai kukunyanda
Kwa toja nina rungu mi nadai kukuswaga
Kwa chuom shika supu nikimbao utataka
Napenda nikiwa zuzu sana sana nikiwa ndakas
Mi ni girimba kuwasuka na kuzega
Jo ni sare kwa sare(Sare)
Hawa madem nikiteka mi huwadema buda
Jo hadi ngware mangware(Gware)
Nimesunda taxin toka juzi
Nina kunyu nare hatari(Tare)
Nikisuka sikufichi mi ni fisi
Mi ni fisi hatare
Mi ni fisi hatare
Sare kwa sare
Mi ni fisi hatare
Ngware mangware
Mi ni fisi hatare
Nare hatari
Mi ni fisi hatare
Fisi hatare
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Fisi Hatari (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE