Umbwakni Lyrics
Jordan Mbwakni
Zitafanya tumnyime kura 2022
Sisi ndio ma top lager 254
Wana DM wakidai magoods
Kwani ni kesho?!
Sitaki Jordan za Umbwakni
Manzi yako kapenda Konyagi
Ni hivyo niko roll on
Chris Kahiga niko on
Na akipiga zima phone (Zima Phone)
Na maboys wako ndani
Na wakilete reba kuna chai
Manzi yako ako Ngong
Kando hapo King Kong
Anapewa kitu long
Kahu$h kapigwa na mwiko
Masanse wako kwa diro
Manze bado zimewai
Hazishuki walai
You're always on mind
Hizi Jordan gani unabuy
Ni za umbwakni, hizi ni gani?
You're always on mind
Hizi Jordan gani unabuy
Ni za umbwakni, hizi ni gani?
Niko na Wizzo Tano Nane
Na kama ni kucheat usipatikane
Alitoka home saa nane
Na bado anaomba tupatane
Hii ni RnBs hii si gengetone
Manzi yako ati ako home
Relationship ya umbwakni
Na buda uko Nai
Kahu$h kapigwa na mwiko
Masanse wako kwa diro
Manze bado zimewai
Hazishuki walai
You're always on mind
Hizi Jordan gani unabuy
Ni za umbwakni, hizi ni gani?
You're always on mind
Hizi Jordan gani unabuy
Ni za umbwakni, hizi ni gani?
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Umbwakni (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
LIL MAINA
Kenya
Lil Maina real name Jeremy Maina is an artist/comedian/rapper from Kenya. He became famous after his ...
YOU MAY ALSO LIKE