Home Search Countries Albums

26 Life

NYANDU TOZZY Feat. FID Q, MBOSSO

26 Life Lyrics


26 Life Zombie again 
(It's S2kizzy beiby)

26 Life hatuboi
Na ndo maana tukikutana nao mabishoo
Madem zao hawachomoi
Na tukikujua ni fake mikausho mikali ka toy
Rest in peace Moi

Bukuku, watoto wameacha rap siku hizi wanacheza viduku
Labda zimekuwa chungu wanasign-iwa na chips kuku
Vifua vikuu wanaenda gym kumbe mambo ipo huku
Life imekuwa doja mpaka wanaume siku hizi wanajiunga vipowder
Round hii ningeambiwa nichague kazi ningekuwa soldier
Like pow pow naua mmoja mmoja

Siku hizi hatunyi tunyi --
Coz home hakuna camp guess who is bartender
Mwanangu Gigy mpe honey
Vitu vimkolee atuonyeshe masebene
Watoto wazuri siku hizi hatutaki talk talk, watoto mapene
They call me cozy sela, flow zangu hela
26 juu bendera, na nikifa naomba nizikwe Kina na ukumbwera

[Mbosso]
Eeh! Hili goma likipigwa wanangu mikono juu
Eeh wanangu mikono juu
Waambie wao chekechea sisi ndio chuo kikuu
Eeh sisi ndio chuo kikuu

Sasa! Naitangaza namba, 26
Wahuni namba 26
Hawajasikia namba 26
Wana waambie namba 26

[Fid Q]
Kuna siri hatuwezi share na dunia
Ukipotea ukaonekana kuikosea ile njia
Koge halina maana uliyemwotea ashaumia
Usicholea uzama sahau spare tumia

Wakiukatili kisiri mafia umeingia kwao
Siri ya wawili moja afe ndo hubakia
Kujiachia, unapozikamatia wapo nyuni unawasainia
Kisha wa vyako uhuni wala kuwasikia

Chachapa kwa mchawi chater ni chale
Chachafya  wala je safi tapa tap hapa na pale
Papata maukali kabla ya utata pata chamale
Na kabla hujamkata paka papasa papaka mkale
Marapper wakalale, ukiacha mkipaka mtapata habari
Ukinifuata fasta mtadata kwa sasa mkaka ni hatari
Machacha wachachare, pacha waicatch washa asha nare
Kuwachapa sijali, chapa tu rapper chachapa ilale

Sitaki umbea signature skia mister holifield
Nakemea masinema kwa mmea holy weed
Weka weka baharia mori uzidi
Sio mtu wa kucheka au kulia lia sorry is feed

Liwazi mwenye njaa hana miko
Hakuna msafi hata mnafiki anafaa wito
Ikijaa punguza chamka cha maandiko
Ukiona haki inakiukwa ujue sa ndo mabadiliko

[Mbosso]
Hey! Hili goma likipigwa wanangu mikono juu
Eeh wanangu mikono juu
Waambie wao chekechea sisi ndio chuo kikuu
Eeh sisi ndio chuo kikuu

Sasa! Naitangaza namba, 26
Wahuni namba 26
Hawajasikia namba 26
Wana waambie namba 26

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : 26 Life (EP)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

NYANDU TOZZY

Tanzania

Nyandu Tozzy is rapper from Tanzania. Record Label 26 Life. ...

YOU MAY ALSO LIKE