Kwani Sisi Ni Wanawake Lyrics

Kwani sisi ni wanawake (Aje)
Kwani sisi ni wanawake (Aje)
Tupendane ka wavuta sigara
Wavunja sheria ndo hukuwanga makinara
Tumehotbox hadi lips ikaparara
Mwenye huendea mzinga ndo huuwanga ni fukara
Lazma ni ishi life ya kibombe
Bomb after bomb wakidai compe
Jana muratina na ati leo champagne
Nawatch sarafina we ukiwatch campaign
Aiiwee, aiwweee, aiweee
Aiiwee, aiwweee, aiweee
Kwani sisi ni wanawake (Aje)
Kwani sisi ni wanawake (Aje)
Kwani sisi ni wanawake (Aje aje)
Kwani sisi ni wanawake (Aje)
Na wanawake wako pale Jambojet
Mi si metal lakini tunamagnet
Venye superwoman alikuwa kwa Clark Kent
Weka BODMAS dem ako kwa bracket
Na wanawake population inapanda
Steam steam panda panda
Nataka kwenda blind date na Azziad
Steam steam panda panda
Uko na macho extatic
Body language ya dem mromantic
We ni guardian angel wa galaxy
Please call me na Samsung Galaxy
Kwani sisi ni wanawake (Aje)
Kwani sisi ni wanawake (Aje)
Kwani sisi ni wanawake (Aje aje)
Kwani sisi ni wanawake (Aje)
First of all nina simcard na sina simu
Nilimkulia dem akaniheshimu
I know mi hukuwanga ignorant
I know mi hukuwanga arrogant
Na sipendi vitu irrelevant
Mi ni bigfish elephant
Peru para we mutheru kipara
Ckay Emiliana, Dmore marijuana
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Kwani Sisi Ni Wanawake (Single)
Copyright : (c) 2022 Ochungulo Family
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NELLY THE GOON
Kenya
Nelly The Goon a member of Ochungulo Family is a Gengeton/Gengetone artist from Kenya ...
YOU MAY ALSO LIKE