Home Search Countries Albums

Unanicheki

MOJI SHORTBABAA

Unanicheki Lyrics


Nahisi muda unasonga
Na mashida yanizidi kunikaba
Nahisi muda unasonga
Na majirani wanapokea baraka
Kwa sauti unanikulbusha
We huachi wana wako
Kwa sauti unanikulbusha
Husahau neon lako
Moyo wangu usikufe
Moyo wangu usikate tamaa
Moyo wangu ujikaze
Moyo wangu usikate tamaa
Ananiona, kwa mapito yangu
Ananiona, kwa machozi yangu
Na muda ukifika, atatimiza
Ahadi zake
Na muda ukifika, atatimiza
Ahadi zake

Unanicheki
Na muda wangu utafika
Unanicheki
Na muda wangu utafika
Moyo wangu usikate tamaa
Muda wangu utafika
Moyo wangu usikate tamaa
Muda wangu utafika

Umesema nisimame imara
Utakuja na ishara
Umesema nisimame imara
Na muda wangu nitang’ara
Umesema mi niombe nisitete
Niwachane wanicheke
Umesema mi niombe nisitete
Niwachane wanicheke
Ukija aaahhh
Utaniweka kiwango cha juu
Umesema mi niombe nisitete
Niwachane wanicheke
Moyo wangu usikufe
Moyo wangu usikate tamaa
Moyo wangu ujikaze
Moyo wangu usikate tamaa
Ananiona, kwa mapito yangu
Ananiona, kwa machozi yangu
Na muda ukifika, atatimiza
Ahadi zake
Na muda ukifika, atatimiza
Ahadi zake

Unanicheki
Na muda wangu utafika
Unanicheki
Na muda wangu utafika
Moyo wangu usikate tamaa
Muda wangu utafika
Moyo wangu usikate tamaa
Muda wangu utafika
Unanicheki
Na muda wangu utafika
Unanicheki
Na muda wangu utafika
Moyo wangu usikate tamaa
Muda wangu utafika
Moyo wangu usikate tamaa
Muda wangu utafika

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Unanicheki (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

MOJI SHORTBABAA

Kenya

Moji Shorbaba is a Kenyan gospel artist from Kelele Takatifu which consist of Didi & Moji Shortb ...

YOU MAY ALSO LIKE