Home Search Countries Albums

Sema

SHANI

Sema Lyrics


Kubadilisha dunia si lazima ukuwe famous
Nimeokoka nacheza design ya Nicodemus
Vuka border ujue ni nini mi nasema
Kama wadai huru ni simple wewe sema

Sio works mimi naishi na imani
Keep it OG mi nafuata tu Omwami
Sifa kila Sunday oh nipate tu kanisani
Sio siri na siringi kama Juliani

Ah ni Yesu
Form ni gani buda form ni Yesu
Maisha badilisha dhambi na kadhalika
Ka ingekua mimi bro mi ningechangamka

Ah oyo
Mi nafuata Yesu mi nafollow follow
Mi nafollow follow, no no
Sitazami nyuma mi nafollow follow

Ah nimeokoka nani, sema
Mimi na Yesu ndani, sema sema
Nimeokoka nani, sema
Mimi na Yesu ndani, sema sema

Na si useme, semaa
Na si useme, sema sema
Na si useme, semaa
Na si useme, sema sema

[?]am aware that
Kama maisha ni mchuzi mi ni Aromat
Time is money no I don't waste mine
Hio mentality I don't pay mind

Ah best of the best mi nacheza ka pia
Christ in my life now I have no fear
Walking in the light now my view so clear
Nilitrust and believe alinifanyia

Alitenda alitenda
Na kunipenda alipenda
Maisha badilisha dhambi na kadhalika
Ka ingekua mimi bro mi ningechangamka

Oyo
Mi nafuata Yesu mi nafollow follow
Mi nafollow follow, no no
Sitazami nyuma mi nafollow follow

Ah nimeokoka nani, sema
Mimi na Yesu ndani, sema sema
Nimeokoka nani, sema
Mimi na Yesu ndani, sema sema

Na si useme, semaa
Na si useme, sema sema
Na si useme, semaa
Na si useme, sema sema

Oyo, follow follow
No no, follow follow

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Sema (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

SHANI

Kenya

Shani Sintamei stage name 'Shani' is a gospel artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE