Ahadi Lyrics
Nilisubiria ahadi, Ahadi ya Mungu
Ya kunijibu Mimi..m. aombi yangu
Nikasubiria muda, Muda wa Mungu
Yeye hachelewi wala hawahi
Subiri, ahadi ya Mungu atakujibu tu maombi yako
Subiri wakati wa Mungu, yeye hachelewi wala hawahi
Ujipe moyo,.m oyo mkuu
Uu jipe moyo sio mwisho wako
Subiri subira yavuta kheri
Subiri Mungu wako yupo
Moyo, moyo mkuu
Ujipe moyo, sio mwisho wako
Subiri, subira yavuta kheri
Subiri, Mungu wako yupo
Mawazo ya Mungu si kama ya mwanadamu
Tunapoishia sisi (Yeye huanzia)
Ni Mungu mfariji, Ni Mungu mwaminifu
Jipe moyo we Baba (Mama)
Ujipe moyo, . moyo mkuu
U ujipe moyo sio mwisho wako
Subiri subira yavuta kheri
Subiri Mungu wako yupo
Moyo, moyo mkuu
Ujipe moyo, sio mwisho wako
Subiri, subira yavuta kheri
Subiri, Mungu wako yupo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : The Sound of Ahsante (Album)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
NEEMA GOSPEL CHOIR
Tanzania
Neema Gospel Choir is a group of born again Christian Singers, members of Africa Inland Church (AICT ...
YOU MAY ALSO LIKE