Home Search Countries Albums

Zikaa Lyrics


Zika Zika Zika Zika

Hey watagwani
Kwani vipi nani anatudai
Natesa bongo mpaka Kenya was born to shine
Tayari hii ni kesi ya kunyonga tai
Wapinzani mko wapi niwazike hai
Haipendizi piga kazi sio kuongea  ongea
Unyakyusa mwingi toka moshi mpaka mbeya mbeya
I’m the one man army never compare
Hi ni time ya mazishi i dont play fair

Baba yaga nipo kwenye ramani
Wakati wa vita unataka amani (zika)
Na si walitaka shindana nami
Shughuli ya wanaume wavulana fulani (zika)
Ah eeeh (zika)
Waleee eeeh (zika)
Ai ai ai (zika)
Ai ai ai (zika)
Ai ai ai (zika)
Ai ai ai (zika)

Yesaya
Bang bang halelluyah
Chepeni tushakuzika hapa
He he ushafutika
Story itabakia flagi tushazimika utawala uni tu ya
Bang bang bang bang
Zemneli naliamsha asamaya
Mazishi yanafanyika tu no choir
Master na wa mitego mo fire
Usitingishe meza ya wakubwa ni hasara
Ujuzi wangu uku juu
Kichwani niko full
Moyoni niko true Sijui tutafanyaje full
I’m a chief rocker microphone doctor
Mtakuja mtekwenda ila bado niko hapa (zika)
Wale wanao taka kutuficha tuna wa (zika)
Kwanza hawana jipya (masia)
Sisi ndio mamasta wenye future
Mtajua hamjui ila mtaisoma picha (zika)

Ah eeeh (zika)
Walee eeeh (zika)
Ai ai ai (zika)
Ai ai ai (zika)
Ai ai ai (zika)
Ai ai ai (zika)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Rais Wa Kitaa (Album)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

NAY WA MITEGO

Tanzania

Emmanuel Elibariki, popularly known as Nay Wa Mitego, or simply  Mr Nay,  is a Tanzanian r ...

YOU MAY ALSO LIKE