It's Okey Lyrics
Nahitaji tiba ya moyo wangu
Nimuone nani?
Hospitali mitaani
Kote nimepita hamna amani
Najua
Hatua mauja itanipa afueni
Ikifikia
Huo mtihani ulipo usoni
Its okey
Ukinipenda ukinichukia
Najua hujali
Ni penzi ambalo mi nakupatia
Mpenzi tamarirawa
Taa tamarirawa
Mpenzi tamarirawa
Taa tamarirawa
Beiby beiby nilijua
Maishani mwangu ningeumia
Penzi kama sindano linachoma
Na kunisulubu kwenye mtima
Unajua nilipokuona
Nilichokiona kwako ni ndoto
Nikajua wewe na mi
Sio baridi bali ni moto
Its okey
Ukinipenda ukinichukia
Najua hujali
Ni penzi ambalo mi nakupatia
Mpenzi tamarirawa
Taa tamarirawa
Mpenzi tamarirawa
Taa tamarirawa
Nachopata kutoka kwako
Sio kingine bali mateso
Changamoto na vituko
Ndio malipo ya penzi langu
Nimejitoa mhanga
Kwa kile ambacho mimi ninacho
Ili wewe, unipende
Beiby beiby wouwo wouwo...
Its okey
Ukinipenda ukinichukia
Najua hujali
Ni penzi ambalo mi nakupatia
Mpenzi tamarirawa
Taa tamarirawa
Mpenzi tamarirawa
Taa tamarirawa
Its okey, its okey
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : It's Okey (Single)
Copyright : (c) 2020 Kwetu Studios.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE