Hunijui Lyrics

Unanijua mimi, au unaniskia?
Unanijua mimi wewe, utakuwa unaniskia
Ninachojua maneno hayavunjagi mifupa
We niseme na ukiishiwa maneno nitakupa
Yaani ninavyoishi sio kama wanavyotaka wao
Wanahabari zangu cha ajabu sinaga zao
Hawanibabaishi hata waniwekee mikao
Wacha waongee maana mdomo mari yao
Mimi, ukinichukia nami nitakuchukia
Mimi, usipopiga nami sitokupigia
Mimi, ukibeba goma langu nabeba la kwako pia
Ukichepuka nami nachepuka dear
Am living my life acheni nienjoy
Ukaskiza ya watu aki ya Mungu hutoboi
Am living my life acheni nienjoy
Ukaskiza ya watu aki ya Mungu hutoboi
Unanijua mimi, au unaniskia?
Unanijua mimi wewe, utakuwa unaniskia
Asubuhi mzigoni, jioni tunakula beer
Kama hunioni sikuoni
Ukiniona nakuona pia
Unga unga mwana ndo maisha ulozoea
Unajifanya nunda mwenzako nishabobea
Ukileta mdomo uswazi ndo nakotokea
Haya leta hadithi zako utamu kolea
Wanashangaa navimba na sina hata mia
Na sio kama ni ushamba
Ila ndo maisha nilochagua
Am living my life acheni nienjoy
Ukaskiza ya watu aki ya Mungu hutoboi
Am living my life acheni nienjoy
Ukaskiza ya watu aki ya Mungu hutoboi
Unanijua mimi, au unaniskia?
Unanijua mimi wewe, utakuwa unaniskia
Am living my life acheni nienjoy
Ukaskiza ya watu aki ya Mungu hutoboi
Yeah yeah yeah yeah, ah yeah yeah yeah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Hunijui (Single)
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NAY WA MITEGO
Tanzania
Emmanuel Elibariki, popularly known as Nay Wa Mitego, or simply Mr Nay, is a Tanzanian r ...
YOU MAY ALSO LIKE