Home Search Countries Albums

Akitokea

NASHA TRAVIS

Akitokea Lyrics


Nasha Travis
(Havstar made it)

Mama kanifunza kimwana mwali
Nipunguze ubishi nitapotea
Ai nijiepushe na spidi kali
Mbio za vijiti sitapokea

Mwanamke stara na heshima
Uvumilivu na hekima
Ajue anayotoa kwa kinywa
Upeti peti navyo ni lazima

So show show me good attitude
I swear from above you'll never be alone
So hold me, hold me and know what to do
I swear from above you'll never be alone

Kama akitokea, mpaka nyumbani mimi
Nitampeleka kwa mama
Kama akitokea, awe ametulia
Asiwe na madrama

Kama akitokea
Kama akitokea

Sio lazima awe mtu mwenye miraba
Ama wa kunipaga mapizza maburger
Asinipeleke rough road zigizaga
Nataka anayenipa penzi la kumwaga

Tena mapenzi yasiwe ya siri
Nitampenda kweli tena nakiri
Am not in love someone is a feeling
I need a lover, I need a form we can chill

So show show me good attitude
I swear from above you'll never be alone
So hold me, hold me and know what to do
I swear from above you'll never be alone

Ukinipeleka slowly slowly nitakuwa nafuu
Haraka haraka nisijevunjika guu
Moyoni only moyoni mwangu
Nakupenda wee, yaani wewe tu

Kama akitokea, mpaka nyumbani mimi
Nitampeleka kwa mama
Kama akitokea, asiwe na madrama
Kama akitokea, to to
Nitampenda kwa sana
Kama akitokea, to toto, tokea

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Akitokea (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

NASHA TRAVIS

Kenya

Nasha Travis is an Artist, Performer, Singer/Songwriter from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE