Home Search Countries Albums
Read en Translation

Toto Lyrics


Your love is sweet

See my baby nasha

Totorimi tototo mpenzi

Totorimi tototo

Totorimi nipe

Uuh babey hapo hapo kanyagia

Penzi limekolea babey tia gia

Kiuno chenye guu mguu wako dia

Aki mapenzi yako najifia mpenzi

Ooh kama mapenzi yangekua ulevi

Ningelewa tilalila babey

Ningelewa chakari chakari tu

Ooh kama mapenzi yangekua ulabu

Ningelewa tilalila babey

Ningelewa chakari chakari tu

Ooh mwambieni mwambieni

Mwambieni ex wangu

Huku nilipo nalishwa

Vinono vingine vya bahari

Namlisha akiinama

Mda mwingine nachutama

Ilimradi vurugu vurugu tu

Yani vurugu vurugu

Mpaka nalia

Mmmhh aaah, mmmhh aah babey

Mmmhh aah babey

Mmmhh aah

Aaaaaahh

Mmmhh aaah, mmmhh aah babey

Mmmhh aah babey

Mmmhh aah

Aaaaaahh

Totorimi tototo mpenzi

Totorimi tototo

Totorimi tototo

Totorimi nipe joto

Totorimi tototo mpenzi

Totorimi tototo

Totorimi tototo

Totorimi nipe

Penzi limenikamata

Nalila giza nisiwashe taa

Alivyo fundi chumbani balaa

Amenibamba amenikamataa

Penzi limenikamata

Nalila giza nisiwashe taa

Alivyo fundi chumbani balaa

Amenibamba amenikamataa

Aah mwambieni mwambieni

Mwambieni ex wangu

Huku nilipo nalishwa

Vinono vingine vya bahari

Namlisha akiinama

Mda mwingine nachutama

Ilimradi vurugu vurugu tu

Vurugu vurugu tu

Nabaki uuuh aaah, uuuh aaah babey

Uuuh aaah babey

Uuuh aaah

Nabaki uuuh aaah, uuuh aaah babey

Uuuh aaah babey

Uuuh aaah

Totorimi tototo mpenzi

Totorimi tototo

Totorimi tototo

Totorimi nipe joto

See my baby nasha

See my baby nasha

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2024


Album : (Single)


Copyright : ©2024 Nasha Travis.All rights reserved.


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

NASHA TRAVIS

Kenya

Nasha Travis is an Artist, Performer, Singer/Songwriter from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE