New Couple Lyrics

Ningependa sana kuona Vanessa na Jux
Mara ghafla ikatokea nuksi
Sikuona tena wakatengana
Aslay nilizoea kumuona na Tesi
Katokea mazito sio mepesi
Wakapendana tena
Nilitegemea kumuona Harmo na Sara wakiendelea
Mambo yamebadilika namwona Kajala nawaombea
Mlitegemea Kusah na Ruby wakiendelea
Mambo yamebadilika namwona Aunt Ezekiel
Watoto wanamlea
Ahaa, new couple
Kila siku inazuka new couple
Ahaa, new couple
Kila siku inazuka new couple
Nilikuwa nice couple
Harusini ningekuja na zawadi ningetoa
Eti queen Darleen wamwonea wivu wa nini?
Ukiwa mke wa pili jiamini
Eti Mani na Esma mambo mmeyamaliza
Inamkera mziza, no no no
Mlitegemea kuniona mimi na Nenga tukiendelea
Mambo yamebadilika na simwoni tena
Ila namwombea
Mlitegemea Fahima na Ray
Mambo yamebadilika yaliyotokea sisemi
Ahaa, new couple
Kila siku inazuka new couple
Ahaa, new couple
Kila siku inazuka new couple
(The Mix Killer)
Kila siku inazuka new couple
It's all about love
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Taste (EP)
Copyright : (c) 2021 African Princess.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NANDY
Tanzania
NANDY aka The African Princess real name Faustina Charles Mfinanga (born Novemb ...
YOU MAY ALSO LIKE