Magufuli Tena Lyrics
Mwenye huruma
Mkombozi wa watu
Ulisha ukapambania
Hakuna wa kuiba wewe
Watanzania
Ni Magufuli, Magufuli tena
Ni Magufuli
Ni Magufuli, Magufuli tena
Ni Magufuli
Kaachia wafungwa
Wenye makosa madogo gerezani
Kaanzisha miradi mikubwa
Kote nchini ni mzalendo
Ni Magufuli, Magufuli tena
Ni Magufuli
Ni Magufuli, Magufuli tena
Ni Magufuli
Raha, raha tupu na rais Magufuli
Raha tupu
Raha, raha tupu na rais Magufuli
Raha tupu
Raha, raha tupu na rais Magufuli
Raha tupu
Raha, raha tupu na rais Magufuli
Raha tupu
Kapandisha bajeti ya dawa
Kutoka bilioni thelathini na moja
Hadi bilioni mia mbili sabini
Soko ya madini sasa imeongezeka ah-ah-ah
Leo vijana elimu ya juu
Wanasoma hawana muda
Wa kuandamana tena
Mikopo inawai
Leo vijana elimu ya juu
Wanasoma hawana muda
Wa kuandamana tena
Mikopo inawai
Makao makuu Dodoma
Ni ahadi ya miaka arubaini
Leo kaitimiza
Tena kwa kasi
Ni Magufuli, Magufuli tena
Ni Magufuli
Ni Magufuli, Magufuli tena
Ni Magufuli
Raha, raha tupu na rais Magufuli
Raha tupu
Raha, raha tupu na rais Magufuli
Raha tupu
Raha, raha tupu na rais Magufuli
Raha tupu
Raha, raha tupu na rais Magufuli
Raha tupu
Raha, raha tupu kuwa na yeye tu
Raha tupu
Raha, raha tupu na rais Magufuli
Mikopo kwa mama, vijana na walemavu(Rais Magufuli)
Huduma ya maji ni bwerere pia(Rais Magufuli)
Kaongeza dhamani ya wakulima(Rais Magufuli)
Korosho, kahawa, pamba, ufuta, mihogo mmmh
Barabara za kisasa
Raha raha tumepata
Ujenzi wa reli pia
Tanzania
Majengo ya hospitali Wilaya sitini na saba
Ni Rais Magufuli
Elimu pia ni bure pia ametoa
Ni Rais Magufuli
Na mapato kem kem serikalini
Ni Rais Magufuli
Kiongozi mwadilifu
Anafurahi
Ni Magufuli, Magufuli tena
Ni Magufuli
Ni Magufuli, Magufuli tena
Ni Magufuli
Raha, raha tupu na rais Magufuli
Raha tupu
Raha, raha tupu na rais Magufuli
Raha tupu
Raha, raha tupu na rais Magufuli
Raha tupu
Raha, raha tupu na rais Magufuli
Raha tupu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Magufuli Tena (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NANDY
Tanzania
NANDY aka The African Princess real name Faustina Charles Mfinanga (born Novemb ...
YOU MAY ALSO LIKE