Bado Lyrics
(Aaah aaah...yeyeye aah)
Kuna maneno ya kusikia
Sikupendi utaambiwa
Sio ishu ni hatari
Usije ukayasikia
Mwenyewe umenisifia
Mwendo wangu wa ngamia
Taratibu bwana darling
Usije ukayasikia
Usije niacha wakati nakupenda sana
Eeh bwana we me nitapagawa
Mambo madogo kelele za kusemezana
Nielewe mambo weka sawa
Usije niacha mwenzako ntamisi matukio wo wo wo
Kama ulaya wanavyofanyaga
Utanipa donda hapo hapo nikianzishe kilio wo wo wo
Baba ubaya usije ni bwagaa
Nakupenda bado
Nakupenda bwana (Bado)
Lazizi (Bado)
Usininyime utamu (Bado)
Nakupenda bado
Nakupenda bwana (Bado)
Oooh wangu mimi (Bado)
Yeah yeah yeah
Hutumii vumio bwana
Samaki sio supu ya nyanya
Mambo ng'ari ng'ari
Hhabari zinapatikana
Na maneno ndo mengi sana
Usishike moja tazama
Nipe vya asali kachumbari
Pilipili Kwa sana
Usije niacha wakati nakupenda sana
Eeh bwana we me nitapagawa
Mambo madogo kelele za kusemezana
Nielewe mambo weka sawa
Usije niacha mwenzako ntamisi matukio wo wo wo
Kama ulaya wanavyofanyaga
Utanipa donda hapo hapo nikianzishe kilio wo wo wo
Baba ubaya usije ni bwagaa
Nakupenda bado
Nakupenda bwana (Bado)
Lazizi (Bado)
Usininyime utamu (Bado)
Nakupenda bado
Nakupenda bwana (Bado)
Oooh wangu mimi (Bado)
Yeah yeah yeah
Hutumii vumio bwana
Samaki sio supu ya nyanya
Mambo ng'ari ng'ari
Habari zinapatikana
(The African princess)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : The African Princess / Bado (Album)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NANDY
Tanzania
NANDY aka The African Princess real name Faustina Charles Mfinanga (born Novemb ...
YOU MAY ALSO LIKE