Home Search Countries Albums

Balaa Zito Lyrics


Wala haihitaji muda
Kucompare who is real and who is not(Mahaba habahaba)
Haihitaji muda kucompare 
Who is real and who is not
(Lonka mi yangu Lonka)
Hili balaa zito(Mzee mwenzangu)
Balaa zito(Mzee mwenzangu wee)
Hili balaa zito(Eeeh mwenzangu)
Hili balaa zito(Alaa mwenzangu wee)

Haina bling bling nigga mi natoka simple
Mwanaume naye tabia nguvu sio dimples
Bongo movie yamemuacha Dogo bila hitsong
Insta maana sina nguo nina info

Game nina vitobo si hofu na viziba
Nyerere gani alimwacha mtoto kwenye msiba
Umehit kisa amepost Mondi na Kiba
Ukirap huna jambo, show nakuzika

Wanabebwa na mbeleko zinaisha siku hizi
Hasira zinanifanya jicho nyanya sipulizi
Upo top ten na kwa mtaa nipo gwiji
Cheki nikipiga tizi la matemo si simizi

Nyumba ni mpoto shaji huna vina
Rapper huna rap huna jina
Mavixen wamepora mic kina Linah
Na wenye uwezo wanastaaf bila heshima kilazima

Wala haihitaji muda
Kucompare who is real and who is not(Mahaba habahaba)
Haihitaji muda kucompare 
Who is real and who is not
(Lonka mi yangu Lonka)
Hili balaa zito(Mzee mwenzangu)
Balaa zito(Mzee mwenzangu wee)
Hili balaa zito(Eeeh mwenzangu)
Hili balaa zito(Alaa mwenzangu wee)

Naitikiwa dua niloomba
Wozu wanakula tunda lilooza
Ndio nakupa ndoto niloota
Hii mida nanda nanda hunywa maji tulooga

Shout out to picky walaani pom pom
Majengo yako sokoni ni moco tom tom
Kitu kimesimama na siwazi kam kam
Ka njiani nakugonga kisha waka ham ham

Huu msiba na wakongo wanalia
Viji waloviacha na watoto na wakalia
Labda nikiwa ngongwa nataka kuwakama njia
Afande usinilinde kwa doria unasinzia 
Namchana rapper wako zimefika siku zake
Na navuja ka dawasko
Mi ndo yule rapper mwenye flow zote za dunia
Ukiniguza sikuwachi floss zote natumia

Wala haihitaji muda
Kucompare who is real and who is not(Mahaba habahaba)
Haihitaji muda kucompare 
Who is real and who is not
(Lonka mi yangu Lonka)
Hili balaa zito(Mzee mwenzangu)
Balaa zito(Mzee mwenzangu wee)
Hili balaa zito(Eeeh mwenzangu)
Hili balaa zito(Alaa mwenzangu wee)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Balaa Zito (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ZAIID

Tanzania

Zaiid is a hiphop rapper/artist from Tanzania ...

YOU MAY ALSO LIKE