Sajili Sasa Lyrics
Ni rahisi, na bure
Zoezi la kusajili laini za simu
Na zoezi linahusisha laini zote(Zote)
Za mitandao yote(Yote)
Na kila aliye na laini ya simu kusajilika
Sajili sasa, ni bure ni bure ni bure
Nenda sasa, ni bure ni bure ni bure
Kwa namba ya kitambulisho cha Taifa
Kusajili ni bure
Sajili sasa, ni bure ni bure ni bure
Nenda sasa, ni bure ni bure ni bure
Kwa namba ya kitambulisho cha Taifa
Kusajili ni bure
Kwa alama za vidole
Usajili wako utadhibitishwa
Unasubiri nini wewe?
Zoezi lina manufaa ya kimataifa pia
Kwa alama za vidole
Usajili wako utadhibitishwa
Unasubiri nini wewe?
Zoezi lina manufaa ya kimataifa pia
Faida za usajili
Ni pamoja na kuimarisha usalama
Mimi nimesajili kujilinda
Na matumizi salama
Usajili kwa njia ya biometric
Ni matakwa ya kisheria
Nenda sasa kwani zoezi
Ni la nchi nzima, aah ni la nchi nzima
Sajili sasa, ni bure ni bure ni bure
Nenda sasa, ni bure ni bure ni bure
Kwa namba ya kitambulisho cha Taifa
Kusajili ni bure
Sajili sasa, ni bure ni bure ni bure
Nenda sasa, ni bure ni bure ni bure
Kwa namba ya kitambulisho cha Taifa
Kusajili ni bure
Kwa alama za vidole
Usajili wako utadhibitishwa
Unasubiri nini wewe?
Zoezi lina manufaa ya kimataifa pia
Kwa alama za vidole
Usajili wako utadhibitishwa
Unasubiri nini wewe?
Zoezi lina manufaa ya kimataifa pia
Kwa alama za vidole
Tumia kitambulisho cha taifa
Unasubiri nini wewe?
Zoezi lina manufaa ya kimataifa pia
Kwa alama za vidole
Tumia kitambulisho cha taifa
Unasubiri nini wewe?
Zoezi lina manufaa ya kimataifa pia
Ni bure ni bure ni bure
Ni bure ni bure ni bure
Kusajili ni bure
Hakika unasajiliwa
Na mtoa huduma
Kwa mtandao unaotumia
Kwa alama za vidole
Usajili wako utadhibitishwa
Unasubiri nini wewe?
Zoezi lina manufaa ya kimataifa pia
Kwa alama za vidole
Usajili wako utadhibitishwa
Unasubiri nini wewe?
Zoezi lina manufaa ya kimataifa pia
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Sajili Sasa (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MWASITI
Tanzania
Mwasiti also known as Chitty Witty is a Tanzanian Song bird she is one of the few super talented fem ...
YOU MAY ALSO LIKE