Rhumba ya Ssaru Lyrics

Hello baby shika simu kuna news fulani
Najua kwamba huna habari la kwanza fahamu nakuja nyumbani
Leo nimeland walai nakam ni serious sio utani
Naskia kuna jam baby relax, hebu anza kuchoma ubani
Unaletanga harufu fulani
Unafanya mi nakutamani
Ni penzi nafeel kwa ndani
Mi fika ni -
Aah yaani hunny, this stress huwanga ni majani
Nikuite hunny kwani? Nimebeba magendo ya chwani
We niruhusu si nusu nusu baby nakuja nikupe mabusu
Mi huwa natembea na silaha butu
Wacha waseme ndio mi nisubutu
Mi nikipenda napenda kwa dhati
So you man (Niwache)
Kama ni uchawi nakubali basi
My baby (Niwache)
Alafu kukuacha nasema sitaki
Niwe nawe mpaka milele eeh eh (Niwache)
Kama ni uchawi nakubali basi
My baby (Niwache)
Alafu kukuacha nasema sitaki
Niwe nawe mpaka milele eeh eh (Niwache)
Baby nasema niwache
Mi nawasili kesi navuruga nafanya bila wakili
Yaani sio siri huku mjini mapenzi yanahitaji akili
Mi siamini yule ukidhani ako sawa ni ndume kuwili
Na niko makini huku majengo ya kijiji na wako mjini
Hapa nilipo mi nikafika na nikasettle
We use kijiko mi nikoroge ju na go mental
Nikikwaza roho ikuume iwe kesi ya dental
Na mi huwa simind ka baby ukitaka tufike karental
So leo ukikosa juu mi sikutoki nangoja ya kesho
Ki rhumba ya Ssaru nikija madem tufunge maleso
Mi nikipenda napenda kwa dhati
So you man (Niwache)
Kama ni uchawi nakubali basi
My baby (Niwache)
Alafu kukuacha nasema sitaki
Niwe nawe mpaka milele eeh eh (Niwache)
Kama ni uchawi nakubali basi
My baby (Niwache)
Alafu kukuacha nasema sitaki
Niwe nawe mpaka milele eeh eh (Niwache)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Rhumba ya Ssaru (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
SSARU
Kenya
Sylvia Ssaru (born on 19th May 2002) aka 'Saru wa Manyaru' is s a Singer, Song writer, ...
YOU MAY ALSO LIKE