Home Search Countries Albums

Kutulia

JOH MAKINI Feat. SAUTI SOL

Kutulia Lyrics

She know, she know, she know, she know, she know
She know, she know, she know, she know, she know
She know, she know, she know, she know, she know

Ashanielewa, nishamwelewa
Kaa kwa kutulia I say
Ashanielewa, nishamwelewa 
So kaa kwa kutulia I say

Sarakasi mingi mtoto acrobatic
Mwendo wa kubonyeza kit automatic
Verified gyal, nampa ma blue tick
So sweet gyal napiga ma hatricks

Eey, nakula kismarti
Eey, nasona kismarti
Eey, visoo na manoti
Vile  me ni GOAT, si noma si noma mninoti
Watoto hawatoki, hapa mi sinoki
Rudi ukajikoki, si noma si noma mninoti
Eey, mi na mama no P you know how we do this

She is so fine
Number 1 kwa charti, she is one in a million(aah)
Mrembo wangu zawadi, she is one in a million
One in a million, one in a million, one in a million
Kaa kwa kutulia I say

Ashanielewa, nishamwelewa
So Kaa kwa kutulia I say
Ashanielewa, nishamwelewa
Kaa kwa kutulia I say 
Ashanielewa, nishamwelewa
So Kaa kwa kutulia I say

Its about to be your birthday
Its about to be your party
Am about to be your Zari
Am about to be your Zari

You're my crib tonight, Tanzanite
Shawty usinifichie white
Would you come over to my crib tonight
Am gonna show you how the future like

You're my crib tonight, Tanzanite
Shawty usinifichie white
Would you come over to my crib tonight
Am gonna show you how the future like

She is so fine
Number 1 kwa charti, she is one in a million(aah)
Mrembo wangu zawadi, she is one in a million
One in a million, one in a million, one in a million
Kaa kwa kutulia I say

Wanasema kila kitu kwa kiasi
Ila wewe mimi nakula mpaka basi
Walisema mapenzi kiti cha basi
Basi me nishanunua hili basi
Dasi, classy, nasty, shawty you knock me down

Wala si kubishana
Mikono juu mama sitabishana
Sitaki kuonekana
Nifiche juu sitaki patikana

Eeey, maradhi yapo juu sana
Njoo na mimi nipate nafuu mama
Eeey, maradhi yapo juu sana
Maana I mean..

She is so fine
Number 1 kwa charti, she is one in a million(aah)
Mrembo wangu zawadi, she is one in a million
One in a million, one in a million, one in a million
Kaa kwa kutulia I say

Ashanielewa, nishamwelewa
So Kaa kwa kutulia I say
Ashanielewa, nishamwelewa
Kaa kwa kutulia I say 
Ashanielewa, nishamwelewa
So Kaa kwa kutulia I say

You know, you know, you know, you know, you know
You know, you know, you know oooh 
She know, she know, she know, she know, she know
She know, she know, she know, she know

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2019

Album : Kutulia (Single)

Copyright : All rights to the owner.

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

JOH MAKINI

Tanzania

Joh Makini  born John Simon on August 27 in Arusha, is a Tanzanian Swahili Hip Hop artist. ...

YOU MAY ALSO LIKE