Home Search Countries Albums

Nasema Nawe

DIAMOND PLATNUMZ

Nasema Nawe Lyrics


Hallooooo…weweweaah… aah kutwa viguru njiani
Majirani wote wamekuchokaa
Mara chumba cha fulani mtu gani we kwako usio kaa
Washinda vibarazani vya wenzako kuropoka
Ukome mwana fulani ona uso ulivyo kukoboka

Sio mwisho vibaoni hadi kwenye vigodoro
Usio na haya usoni kote wazua migogoro
Hivi wee haujioni kuwa una kasoro
Usio mchana jioni si wa juzi si tomorrow
Sio mwisho vibaooni kwenye vigodoro
Usio na haya usoni kote wazua migogoro
Hivi wee haujioni kuwa una kasoro
Usio mchana jioni si wa juzi si aah

Nasema nawe (nasema nawe) nasema nawe (nasema nawe)
Nasema nawe (nasema nawe) usio haya nasema nawe
Umezoea (nasema na wewe) chezea chezea (nasema nawe)
Umezidi (nasema nawe) zizi, zidi (nimechoka nasema nawe)

Khadija Kopa: Huna haya ka kibakuli cha vumba
Khadija Kopa: Popote unajitokeza babu eee haa we kichoji tu
Khadija Kopa: Unaingia kwenye kundi la ninga utachanika mabawa

Hmmm ah zingifuli zingifuli ungezinga mahala ukakaa
Usio mila desturi usio jua tongozwa ukakataa
Usio hiyana fedhuri uongo umekujaa

Kujifanya mashuhuri kumbe chaka umechaka aga
Mwenzako mi ni turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu si kupapasa
Tena jokali la nguvu pakarata
Lile hodari maguvu si kwasa kwasa
Ooh mwenzako mi ni turufu si garasa
Mwenye nyota ya umaarufu si hozakoza aah

Nasema nawe (ona wewe) nasema nawe (nawe)
Nasema nawe usio haya nasema nawe (na wewe)
Nasema na wewe nasema nawe (na wewe)
Nasema nawe nimechoka nasema nawe
Umezoea (nasema na we) chezea chezea (nasema nawe)

Umezidi (nasema nawe) zidi (usio haya nasema nawe)
Nasema na wewe nasema nawe ooh nasema nawe
Nimechoka nasema nawe

Khadija Kopa: Wewee umejifunza ngumi leo wataka upigane na Tyson? Haah

Ale kata kata kakata katika si kata oh teteme teteme (kata)
Wenye kusema waseme (kata) ale kata kata kakata katika si
Kata kiuno chako mwenyewe (kata) mola amekupa wewe (kata)
Tena vya kili kilali (kata) nipe vya bara na pwani (kata)
Vile vya nje na ndani (kata) tumkomeshe fulani (kata)
Tena 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2015


Album : Diamond Singles (Single)


Copyright : (c)2015


Added By : Trendy Sushi

SEE ALSO

AUTHOR

DIAMOND PLATNUMZ

Tanzania

Naseeb Abdul Juma ( born on 2nd October 1989 ), popularly known by his stage name Diamond Platnumz, ...

YOU MAY ALSO LIKE