Kiuno Lyrics
Utaniambia nini sasa ambacho sikijui
Nacheka nawe usiku kukikucha sikujui
Bia nyingi na misupu asubuhi
Nyumbani naitwa dingi ila vichuchu havipumui
Party kama siku yako ya birthday
Mmmh au tuseme hii ndio last day
Basi we kiwashe(Mzee baba)
Kabla hata -- pass away
Yellow, yellow, yellow suba
Parking iko freshi shika jero ukale msuba
Na party sio kila siku watoto wa ghetto hufurahi
Mwarabu kauza mafuta hii ni kero Dubai
Arusha ngono ngono kula nyama
Kulala Morogo parte Dar es Salaama
Kwenye vichochoro sio ruksa kuinama
Tushaanza migogoro ya wanaume kusimama
Habari za kaunta na sio Mr T da
Nini mnataka basi?
Mr big black, robaya kwenye kazi
Naitwa mr Hikwa
Na hizo party za angani
Call me Mr Pipa
Ni kiuno tu
Haina gharama haina nguvu
Ni kiuno tu(Oooh yeah)
Ni kiuno tu
Haulipi nyama haulipi bia
Ni kiuno tu(Oooh yeah)
Ni kiuno tu
Haina gharama haina nguvu
Ni kiuno tu(Oooh yeah)
Ni kiuno tu
Haulipi nyama haulipi bia
Ni kiuno tu(Oooh yeah)
Kama jicho umeletewa, spika umeletewa
Playlist ya nyimbo unazopenda utachezewa
Pombe unazokunywa utaletewa na utalewa
Anza mapapara mpaka homu utachelewa
Jokovu liko wazi toa chupa weka tupa
Mwaga radhi kama nguo unazotupa
Toa kasi weka kazi mambo supa
Ladha tumehifadhi kama linavyofanya duka
Mama mama(Mama mama)
Kula nyama nyama(Nyama nyama)
Zama zama zama(Zama zama)
Tungi likikata tunalifuata hata border
Amri marufuku hakuna mtu kuagiza soda
Tuko pamoja, yeah yeah I told ya
Wadogo wamwage ugali wakubwa tumwage mboga
Ni kiuno tu
Haina gharama haina nguvu
Ni kiuno tu(Oooh yeah)
Ni kiuno tu
Haulipi nyama haulipi bia
Ni kiuno tu(Oooh yeah)
Ni kiuno tu
Haina gharama haina nguvu
Ni kiuno tu(Oooh yeah)
Ni kiuno tu
Haulipi nyama haulipi bia
Ni kiuno tu(Oooh yeah)
Usione Musa kapita kwenye bahari
Kwa bakora yake
Na we Firauni unataka kupita palepale
Utazama
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Kiuno (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MR BLUE
Tanzania
Khery Sameer Rajab popularly known as Mr Blue, is a Tanzanian RnB and Bogo Flava musician born on Ap ...
YOU MAY ALSO LIKE