Superwoman Lyrics
Sina ajenda
Wala sina pa kwenda
We ndo game changer
Umenituliza kisiwa cha pemba eh
I say mwah mwah
Penzi lako maji namwagika mwa
Baby kiss mwah mwah
Ma kiss ma hug ma love dovie tanua, chanua
I wanna be the king of your heart
Baby would you be the queen of my heart
I wanna be with you for the rest of my life
Maana hakuna wa kukufananisha no one
You’re superwoman
Wonder woman
You’re superwoman
Wonder woman
Sina ajenda
Wala sina pa kwenda
We ndo game changer
Umenituliza kisiwa cha pemba eh
Tena nnavyokupenda
Mbona sina pa kwenda
We ndo game changer
Umenituliza kisiwa cha pemba eh
Badman
Akitaka kiti anatengewa
Akipata heat anapepewa
Akitaka muziki anachezewa
I say nangelel nangele nangelewa
Oh super
You’re my baby super
Vile unavyoniendesha kama suka
Tena unavyoninogesha kama sugar
Kiss kiss na hug
Body body to body
Ndani ndani kwa ndani
Mali iko gambani
I wanna be the king of your heart
Baby would you be the queen of my heart
I wanna be with you for the rest of my life
Maana hakuna wa kukufananisha no one
You’re superwoman
Wonder woman
You’re superwoman
Wonder woman
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
BEN POL
Tanzania
Benard Michael Paul Mnyang'anga aka Ben Pol is an award-winning singer and songwriter mainly pro ...
YOU MAY ALSO LIKE