Mimi Na Wewe Lyrics
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Uzuri wa thamani ya madini
Shepu nguvu wa baharini
Kumpata bahati siamini
Kafundwa mila nzuri tamaduni
Navile ameniweka akilini
Mwilini amenijaza vitamin
Nanenepa jamani
Nanenepa jamani
Navile ukinitoouch my body
Mwili unakufa ganzi
Naning’inia kanifunga kitanzi
Bora niyaweke wazi yani
Mpake kifooo
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Acha kifo kitutenganishe
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Acha kifo kitutenganishe
Kifo kitutenganishe
Ukunipendea mkwanja
Hukunipenda sababu
Nakupeleka viwanja
Na uko na mimi tangu
Sina hata mia
Kweli ulinivumilia ata
Niliposhindwa kukuhudumia
Beibee tujipe tuzo
Mana tunaupendo wa kweli
Usio na maigizo
Beibeee sitokupa rikizo
Hii safari ya milele uendako
Na mimi niko
Kwasasa ni niwengi ni wengi
Wanao kutamani mpenzi
Wanaoona wivu tukispendi
Hawajui tulihaso minaweewe
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Acha kifo kitutenganishe
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Acha kifo kitutenganishe
Acha kifo kitutenganishe
Mimi na wewe
Mimi na wewe
Mimi na wewe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Copyright : (C) Slide Digital
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE