Poa Poa Lyrics
Kuna mengi tulipanga
Kipindi nipo na yeye(Na yeye)
Ila akaja pangua
Akayavuruga yale(Yeyeyeyeee)
Kusema za ukweli nimepata pigo
Moyo umetoboka inauma figo
Kichwa changu mwenyewe naona mzigo
Oooh
Vipi nikwepe nisikonde
Ili nisipate taabu mi ni mnyonge
Maana mawazo nusura nijinyonge
Ila no no no imani inakataa
Siwezi Taarab nimponde
Ikaja kuwa sababu watu waongee
Vinyago kama mpingo na wachonge
Ila no no no moyo unakataa
Mi nachukulia tu(Poa Poa)
Siwezi weka kwenye moyo(Poa Poa)
Mbona kawaidaa(Poa Poa)
Nitafanya nini kibogoyo?(Poa Poa)
Mi nachukulia tu(Poa Poa)
Siwezi weka kwenye moyo(Poa Poa)
Mbona kawaidaa(Poa Poa)
Nitafanya nini kibogoyo mie?(Poa Poa)
Kama kupenda nilimpenda
Sikuchunguza kasoro
Za kwangu ndogo ndogo zimemshinda
Akachanganya kongoro
Limevuja pakacha
Siamini ameniacha doro
Eti mzee wa matakataka
Na mimi hatuna kasoro
Kwa giza totoro
Kaniacha kwa chochoro
Nacheza dombolo
Mwenyewe bila solo
Hakuwaza dada
Kwamba kuna tomorrow
(Mmmh mmmh)
Vipi nikwepe nisikonde
Ili nisipate taabu mi ni mnyonge
Maana mawazo nusura nijinyonge
Ila no no no imani inakataa
Siwezi Taarab nimponde
Ikaja kuwa sababu watu waongee
Vinyago kama mpingo na wachonge
Ila no no no moyo unakataa
Mi nachukulia tu(Poa Poa)
Siwezi weka kwenye moyo(Poa Poa)
Mbona kawaidaa(Poa Poa)
Nitafanya nini kibogoyo?(Poa Poa)
Mi nachukulia tu(Poa Poa)
Siwezi weka kwenye moyo(Poa Poa)
Mbona kawaidaa(Poa Poa)
Nitafanya nini kibogoyo mie?(Poa Poa)
Inaniuma sina la kufanya
Mama ooh, mama ooh, mama ooh
Inaniuma sina la kufanya
Dada ooh, dada ooh, dada ooh
Itabidi nizoee
Poa poa, poa poa
Poa poa, poa poa
Poa poa, poa poa
(Smart Music)
Mafia!
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Poa Poa (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BEKA FLAVOUR
Tanzania
BEKA FLAVOUR real name Bakari Katuti is a musician from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE