Tamaduni Lyrics

Enyi wazazi kumbukeni
Kutukumbusha mila zetu
Kwani ndo asili yetu
Kujua tamaduni zetu
Ukienda Morogoro
Wapo waluguru na wapogoro
Ngoma yao ni sangura
Maana wanadumisha mila
Chakula wanachokula
Pepeta ka jibwagila
Sangula mama cheza sangula
Sangula dada cheza sangula
Sangula baba cheza sangula
Sangula kaka cheza sangula
Sangula mama cheza sangula
Sangula, sangula
Tutunze hizi, ayee
Tamaduni zetu ayee
Na zetu mila ayee
Ndwazi yetu, ayee
Tutunze hizi, ayee
Tamaduni zetu ayee
Na zetu mila ayee
Ndwazi yetu, ayee
Nikifika Dumange kwa wasambaa
Ejenjo kwa wapare
Masai sova yero papa
Wangoni nalizombe
Wagongo ee
Nyumba zao tembe
Ngoma zao pembe
Wachaga ai kambe
Wahaya si ni kwaula
Wanapenda Ebitoke
Wazaramu wanavaaga segere
Wamakonde na singenge
Sangula mama cheza sangula
Sangula dada cheza sangula
Sangula baba cheza sangula
Sangula kaka cheza sangula
Sangula mama cheza sangula
Sangula
Tutunze hizi, ayee
Tamaduni zetu ayee
Na zetu mila ayee
Ndwazi yetu, ayee
Tutunze hizi, ayee
Tamaduni zetu ayee
Na zetu mila ee
Ndwazi yetu, tutunze
Sangula mama cheza sangula
Sangula dada cheza sangula
Sangula baba cheza sangula
Sangula kaka cheza sangula
Sangula mama cheza sangula
Sangula
Tutunze hizi, ayee
Tamaduni zetu ayee
Na zetu mila ayee
Ndwazi yetu, ayee
Tutunze hizi, ayee
Tamaduni zetu ayee
Na zetu mila ee
Ndwazi yetu, tutunze
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Tamaduni (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
DI NAMITE
Tanzania
Namite Giuseppe, stage name 'Di Namite' is a young artist from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE