Home Search Countries Albums

Mchecheto

MBUZI GANG Feat. KRG THE DON

Mchecheto Lyrics


Kirikuu mfupi rungu ni naughty
Ye ni kwela sura rangi ni konki
Kifua ni tikiti, nyuma ni sinki
Ni kiki na bila hututishi

Haujaona hio damu hii mwezi, mchecheto
Msimu wa baridi huna mpenzi, mchecheto
Rungu gushodo kwa ngozi, mchecheto
KRG na Mbuzi kwa doba, mchecheto

Haujaona hio damu hii mwezi, mchecheto
Msimu wa baridi huna mpenzi, mchecheto
Rungu gushodo kwa ngozi, mchecheto
KRG na Mbuzi kwa doba, mchecheto

Alright then, mad ting mad ting KRG
Mbuzi gang brr bang bang
Tunawabang anywhere ka mbuzi
Bang bang, waah

Peng ting kam basi you fi ride it
Nikupe cocky mpaka uwike gakii
You dirty tena wi mu naughty
Ni risky vile we mujisty

What a mistery tight likkle cool kid
Pon the neck neffi give you a hickey
Now dirty whine nikushikie ka fine wine
Whiskey nitaleta fine whiskey

Haujaona hio damu hii mwezi, mchecheto
Msimu wa baridi huna mpenzi, mchecheto
Rungu gushodo kwa ngozi, mchecheto
KRG na Mbuzi kwa doba, mchecheto

Haujaona hio damu hii mwezi, mchecheto
Msimu wa baridi huna mpenzi, mchecheto
Rungu gushodo kwa ngozi, mchecheto
KRG na Mbuzi kwa doba, mchecheto

Tuko na Don hii ni mchecheto
Na hii ni banger buda huwezi kutushow kitu
KRG na Mbuzi mad energy
Mbuzi choma tumechoma hadi msitu

Sipendi curfew ka huwanga few usiku
Love ni blind lakini mi I see you
Niko thirsty yaani niko na high kiu
IQ ni high yaani yangu ni long queue

Nina shawty wa town na mke ghetto
Twenzetu wakibanja si hulenga tu
Niko na Miss I, Hamisa Mobetto
Hajai miss hii misa ni mchezo tu

Haujaona hio damu hii mwezi, mchecheto
Msimu wa baridi huna mpenzi, mchecheto
Rungu gushodo kwa ngozi, mchecheto
KRG na Mbuzi kwa doba, mchecheto

Haujaona hio damu hii mwezi, mchecheto
Msimu wa baridi huna mpenzi, mchecheto
Rungu gushodo kwa ngozi, mchecheto
KRG na Mbuzi kwa doba, mchecheto

Kuna vitu mbili mi sijai share
Nini? Beer na dem yangu
Nikiwa maji siamini tabia zangu
Chumvi ni tamu ikiwa kwa food ndani

Mchecheto, mi na goshodo kejani mpepeto
Rapper akibonga chafu mwoshe mpee dettol
Mi si deni unanidai siko na nipple
Nishagonga ndipo, niko na kiko

Apply hio pressure ifike kwa figo
Sai nawatesa kwaba na shingo
Mcheza na MPESA wangu ni besty
Mi na mchecheto

Kirikuu mfupi rungu ni naughty
Ye ni kwela sura rangi ni konki
Kifua ni tikiti, nyuma ni sinki
Ni kiki na bila hututishi

Haujaona hio damu hii mwezi, mchecheto
Msimu wa baridi huna mpenzi, mchecheto
Rungu gushodo kwa ngozi, mchecheto
KRG na Mbuzi kwa doba, mchecheto

Haujaona hio damu hii mwezi, mchecheto
Msimu wa baridi huna mpenzi, mchecheto
Rungu gushodo kwa ngozi, mchecheto
KRG na Mbuzi kwa doba, mchecheto

Mche mche, mcheze tu
Mche, mcheze tu
Mche mche, mcheze tu
Aii aii, mcheze tu

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Mchecheto (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MBUZI GANG

Kenya

Mbuzi Gang is a group of 3 artists; Joefes 254, iPhoolish and Fathermoh from Kenya. Signed ...

YOU MAY ALSO LIKE