Home Search Countries Albums

Silali Lyrics


Ooh heii
Bebi for your love
Heiia

Najiukumu pasipo na maana
Nilikwamini kakwita angu mah
Ilah ndo ivoh basi haina maana
Kupiga hatua na kisiki oh!
Tuliaindiana kutengana forever No
Mbona sasa hueleki love
Inachoma roho ivi nishasemwa nao ho
Kwani mpenzi waiya
Sikukosa wito wako ivi adi kabeba mizigo yako
Kwani azma yako ilikuaga nini mpenzi waiya
Chentra chintu la madiee
Wetra vetra vitu my baee
Letra kipenzi honiee moyoni nakukosa sanaa ooh
Ulipo omeka hukufanya haba mwia wote sweetie darling
Hivi kipi sikufanyatimiza kwa wakati nitende ivih sasa honie ho!
Kwa kweli silali ivi nisipo kuona my darling
Niamini my momie hakuna mwengine ako zaidi ako wewe ooh

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Silali (Single)


Added By : Courtney Esboy

SEE ALSO

AUTHOR

COURTNEY ESBOY

Kenya

Courtney Esboy is a Kenyan artist/song writer, rapper and designer. ...

YOU MAY ALSO LIKE