Home Search Countries Albums
Read en Translation

Warena Lyrics


It's M City Music baby
(Eyuh Chino you Again?)

Man a Guz huskii setoka niko rada
Bling ni ya kilo na si ati nyama
Ndonyo bado ni mayut wanakaba
Hizi rima jina Guzu watataja

MG zing jina ndio bwaku
Ukilaku mavushying nakulaku
Ukikatiwa Kombato na madunya 
Ukinilinky niko rima inadi deep sea (Umojing)

Niko chupri na kwa mbosho nina ndichwez (Kachwez)
Odi mind siwezi tii wanitinge
Tukizidingi Courtiko nikupinge
Rampage na kuzidi kuwadalo

Hata mao nadeliver to the people

Na mashang' kuzinyafu kunyambisha
Ukikam na underation kumbwagishwa
Nina mbegega nategea nililishe
Mwagambuti ni lazima niwafinye

Si ndo kusema, shang' inatema
Kila kitu si hudu ni warena
Utaliet ukikanashi warena
Utaliet ukikanashi wa' 

Yoh! Si ndo kusema, shang' inatema
Kila kitu si hudu ni warena
Utaliet ukikanashi warena
Utaliet ukikanashi wa'

Kaa riang' ni siaka mi nitakubrush
Siwezi gwai isaa walosh, hadi mkuje mtu das
Nimenjaku vodo mbwegze wamenjaku vodo jas
Wanabuya kakinuka wanainzagi za backs

Digi dwanzi rezi kujijaza gas
Na vile kindie kuna shang' nimestash
Ukidigi vodoo bwe' hakuna zeng ni magwaash
Wanafurisha magwado usongi wakinywa kuhave

Utabaki ni kirown na kiChrome
Huko rima nyonyo wako amepitiwa za kichuom
Huna riang' umeidra man ni ka huko some
Juu ya gwethe zabe nakupata ukiuza bomb

Wanatupimia za ki VAR 
Na walitubeba ndogo tukiwanga char
Mi hutambua me realest akina Michar
Na kifaa nilichambua zanabe ya kiwar

Riambez wako idhaa inengi ni shuksha
Kumswipe tukimonchokanga bukla
Kabla nijichape lazima kondiekcha
Portmore namezea kila ndiecha

Unabanja sana ukinywa kuchweng'a 
Kimirista hamwezi bishana na kweng'a
Mtadoz mbogi nzima mtarenga
Mkijaribu kukanashi warena

Unabanja sana ukinywa kuchweng'a 
Kimirista hamwezi bishana na kweng'a
Mtadoz mbogi nzima mtarenga
Mkijaribu kukanashi warena

Si ndo kusema, shang' inatema
Kila kitu si hudu ni warena
Utaliet ukikanashi warena
Utaliet ukikanashi wa' 

Yoh! Si ndo kusema, shang' inatema
Kila kitu si hudu ni warena
Utaliet ukikanashi warena
Utaliet ukikanashi wa'

Ghetto praise mi sitekeswagi rogam
Kunipree we jidalo mara wutat
Kujinauwo sikunauwo we ni who dat?
Banja baga ni madua muok otolo

Inna milien kuwakweng' chaji seh kama che
Tukisheng kwa hii ground si ma king
Hatuzip kuwasweep tukisip Hennessy
Naughty dread si ni wabingy wako kinky

Frenemy nawaborn ka warena
Si wazing hatugwai hizi mapikni
Huku njei wanang'am ni wareng' wananjaku
Ngumi mbwegze ka si vyoi tu foot on hadi laksi

Wana furaha shagla zetu zikijipa
Mangwander' si huboss zihuwarianyu
Za wathii siwezi fika kwa wakadu
Kuna shang' nategea toka danchu

Utariau makidi za Isladu
Nikirombotha chini kovu digi doki
Kwa bonje siku zao ziko shomwi
Ni mila mi mgenje uliza Toppy

MG kila kitu wanacopy
Wikendi kurombos na ma okli
Roho zao ufucha zinadai mopping
Leta ufala utaparara na masoki

Yoh! Utaliet ukikanashi warena
Wanahate hio ndio kamati ya Kenya
Inakonge usione nathobotha 
Reason vitu zimekalas hizo Pharmacy za Tena

Omollo Mwangi niko thamaki na tema
Niko juu ya ngwete sembe samaki omena
Nimezoza sling chini mambati warena
Na nimejipin niko na ka 30 kwa chamber

Macho drowsy ka wachinku wa ben ten
Mangwariti kwa mbosho ni ka za 10K
Niko maweng mi ni zing niite sense
Peng' akidai Uber ita Senke

Addi teacher toka Gaza Matopeni
Na hawa manigga wanajijaza wachocheni
Na kama diva mnabanja jo komeni
Utaririma nitawalaza we ngojeni

Ukinitusi sitabonda just another diss
Blodclat si huwachoma kama cannabis
Kaa na this uone vile mi nitakukang'a beef
Bitch boy siku gani utasare uwaganis

Kaa huna form hii Nairobi bosi hama
Oldskul mbogi huniita bossy bossiana
Hobby naughty kuchota mangoko thotiana
Kuwarudis choki ni ka nimegoroki ndio kwa maana

Mtaa mbogi huniabudu ka tajiri fulan
Na mi hucheza game bubu ka sirikal
Na tunaleta vurugu si siri man
Smaddy, OG, Guzu na  Militan

Si ndo kusema, shang' inatema
Kila kitu si hudu ni warena
Utaliet ukikanashi warena
Utaliet ukikanashi wa' 

Yoh! Si ndo kusema, shang' inatema
Kila kitu si hudu ni warena
Utaliet ukikanashi warena
Utaliet ukikanashi wa'

(Big Shoutout to Vinc on the beat by the way)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Warena (Single)


Copyright : (c) 2021 MG


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MBOGI GENJE

Kenya

Mbogi Genje also known as "Sheng Masters" is a group of  three artists from Keny ...

YOU MAY ALSO LIKE