Home Search Countries Albums

Ikijipa Lyrics


Unaweza zitoka zikingwata
Tangu olipo utanipata pon di gutter
Mashashola zimewaka ni mogatha 
Na zikikumamba unaeza chain mamorata

Bam bam digi bam bam chikicha
Puff puff nikijam jam shikisha
Bam bam digi bam bam, bam
Puff puff nikijam jam, jam

Form ikijipa hakunauwo kulalisha
Zikishika hakunauwo kusafisha
Kakimouk kananauwo kuthigithwa
Aya bas mbuyu hakunauwo kulalisha

Headbad toka nikuwe mless
Ka ni tapo mi hupatch utadhani NFS
Nilichorea mangem tupatane mambadeng
Mashashola ndio vitu kwa mind nafinesse

Diang'a songi nazipiga shifla
Na kikoro njamu mboka la kichizla
Tunatesa na wakoba ni wafisa
Kuwashwisa riang ficha, riang fitsa

Tuko na shang niko na gang
Na mariambes wamemuok wanadai kuziburn
Zilipuke ka vile zinalipuka Iran
Si ziburn hatumind warazi waking'am

Bam bam digi bam bam chikicha
Puff puff nikijam jam shikisha
Bam bam digi bam bam, bam
Puff puff nikijam jam, jam

Form ikijipa hakunauwo kulalisha
Zikishika hakunauwo kusafisha
Kakimouk kananauwo kuthigithwa
Aya bas mbuyu hakunauwo kulalisha

Tuko na projo inafaa kuwa mbele
Mbogi Genje kuchachisha sio meme
Mtoto m-wide kama River Kamene
Naipiga mpaka analia, tuko matembe
Ngoko tangatanga kaa mamende
Akwende, anajiona amemea pembe

Guzman ndio mwenye wanamwika (Guz)
Na warosho zote wananiwinda (Wanasaka)
Watanauwo Mbogi Genje cha lazima (Watanauwo)
Leta mambo uone ukipangwa
Rusha diss tuwache unajishuku 
Kam na mambo si huwaka kama nare

Bam bam digi bam bam chikicha
Puff puff nikijam jam shikisha
Bam bam digi bam bam, bam
Puff puff nikijam jam, jam

Form ikijipa hakunauwo kulalisha
Zikishika hakunauwo kusafisha
Kakimouk kananauwo kuthigithwa
Aya bas mbuyu hakunauwo kulalisha

Mi huvibe tu ni kaa niko malego
Mbogilise inarieng tu, ni machweng'a
Mausgan zimeliet ni olipa
Gwethe ya mathao ya salopa

Tuko nditni ni masiwa tu kwa pori
Na majaji wamekwaria mamokish
Kuwadungiz, kuwabambisha na shedi
Na mahaijin wameriet ka warena

Tuko tifin, kila rima ni maroslat
Kuwadoshwe kwa warena
Dabo genje, mi hupiga kama Roro, kama gwethe
Haunauwo safisha, hatunauwo waganis

Bam bam digi bam bam chikicha
Puff puff nikijam jam shikisha
Bam bam digi bam bam, bam
Puff puff nikijam jam, jam

Form ikijipa hakunauwo kulalisha
Zikishika hakunauwo kusafisha
Kakimouk kananauwo kuthigithwa
Aya bas mbuyu hakunauwo kulalisha

VK Master bie gangster
Ah wah do Slambo, dem care an do
Ah wah do Jamie, uno fi see me

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Ikijipa (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MBOGI GENJE

Kenya

Mbogi Genje also known as "Sheng Masters" is a group of  three artists from Keny ...

YOU MAY ALSO LIKE