Upo Lyrics

Kweli baba upo upo
Unapatikana kila kona
Tena wewe upo upo
Kwa fadhili zako tumeona
Kweli baba upo upo
Unapatikana kila kona
Na tena baba upo upo
Kwa fadhili zako tumeona
Bibilia inasema
Aliye na mwana hakosi ushuhuda
Mimi nasimama imara
Kwa madhabahu mwanao nikisema
Hey eeh yale niliyoyatenda jana
Kwa kweli Mola wangu umenisamehe
Nilipotoshwa na ujana
Shetani karibu animalize
Yale niliyoyatenda jana
Kwa kweli Mola wangu umenisamehe
Nilipotoshwa na ujana
Shetani karibu animalize
Kweli baba upo upo
Unapatikana kila kona
Tena wewe upo upo
Kwa fadhili zako tumeona
Kweli baba upo upo
Unapatikana kila kona
Na tena baba upo upo
Kwa fadhili zako tumeona
And I know, and I know
Kwamba unanijali
Yes I know, yes I know
Unanipeleka mbali
And I know, and I know
Kwamba unanijali
Yes I know, yes I know
Unanipeleka mbali
Uko baba nimekuona moyo wangu ukapona
Ibilisi akiniona inabidi anapiga kona
Najua kuna wengi wanatamani kukuona
Jionyeshe daddie wakikuona watapona
Wewe nimekuona moyo wangu umepona
Ibilisi akiniona inabidi anapiga kona
Nina imani kuna wengi wanatamani kukuona
Jionyeshe daddie wakikuona watapona
Kweli baba upo upo
Unapatikana kila kona
Tena wewe upo upo
Kwa fadhili zako tumeona
Kweli baba upo upo
Unapatikana kila kona
Na tena baba upo upo
Kwa fadhili zako tumeona
Tumepopopo, tumepopona
Tumepopopo, tumepopona
Tumepopopona, tumepopona
Tumepopopona, tumepopona
Kweli baba upo upo
Unapatikana kila kona
Tena wewe upo upo
Kwa fadhili zako tumeona
Kweli baba upo upo
Unapatikana kila kona
Na tena baba upo upo
Kwa fadhili zako tumeona
Kweli baba upo upo
Unapatikana kila kona
Tena wewe upo upo
Kwa fadhili zako tumeona
Kweli baba upo upo
Unapatikana kila kona
Na tena baba upo upo
Kwa fadhili zako tumeona
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Upo (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE