Ting Ting Lyrics
Kwa mnoko ni mating ting
Kwa mnoko ni mating ting
Yoh si ndo wenye riang
Si ndo wenye rieng
Si ndo wenye riang
Si ndo wenye rieng
Si ndo wenye riang
Si ndo wenye
(Eyuh Chino you again)
Smaddy Ting
Ndasu wada niwe mating ting
Pigwa riat kwa mnoko ni mating ting
Toka siaka nikisetoka kwa scene ting
Pigwa riat kwa mnoko ni mating ting
Piga shifla za kizing ting
Pigwa riat kwa mnoko ni mating ting
Anza guoko toka dinti
Pigwa riat kwa mnoko ni mating ting
Hii ni warena kuliko chalace
Giz ringis tenje ukidungis
Wanatry dis niko za awadis
Mi giringo unaeza niita Grr..gadis
Sina tuki nina shapre
Nimenjafu sina time ya kuzache
Nawachukua chukua hawa manamblein
411 wakivutia maniplay
Toka gen stagger na matallboy
Nimekwaria zoi shang' kinena imoi
Tunasetoka rima tukibakisha mang'oi
Tumengadu oriji wamenganadu mamboi
Ndasu wada niwe mating ting
Pigwa riat kwa mnoko ni mating ting
Toka siaka nikisetoka kwa scene ting
Pigwa riat kwa mnoko ni mating ting
Piga shifla za kizing ting
Pigwa riat kwa mnoko ni mating ting
Anza guoko toka dinti
Pigwa riat kwa mnoko ni mating ting
Njengerere ndio si hung'ada nazo
Kuwatokea magically na kahasho
Nambetea kama zombie niko ting ting
Tukiwaicha ma mulla hii ni ring scene
Ukileta za kuleta kuwa-abandon
Touchy touchy design nakutight
Mi huwa mtouchy design nitakuchai
Hatuwezi reason design umedry
Na ka una riambiez design nitamswipe
Nyongolo unakwariwa kitu tight
Niba utang'am all white
Nitakung'am tutalinky next time
Ndasu wada niwe mating ting
Pigwa riat kwa mnoko ni mating ting
Toka siaka nikisetoka kwa scene ting
Pigwa riat kwa mnoko ni mating ting
Piga shifla za kizing ting
Pigwa riat kwa mnoko ni mating ting
Anza guoko toka dinti
Pigwa riat kwa mnoko ni mating ting
Ghetto yut hizi ria tumedungis
Njiste bado tumerienga hadi rengwa
Itiko bila mukuch hubambuki
Isaa iningris uko Inda unakaba
Bana Jah naffi get daila theng'a
Dizlawa mi hundungis hawakafi
Waizreu wamedungis ni za Muthuch
Wazimbiting haturiu tuko shagla
Kabla ubanje we zieng ngati ngasha
Genjelise pandisin warembe tena
Usidiss ka hulove kudigi dibla
Ngeso ngiso ka Saddam kang'a kang'es
Na kobuong kwa tojer ka mduse
Giz nicha kuwarao za kivulai
Yuste tunazieng inna fast class
Yuste tunazieng inna fast class
Ndasu wada niwe mating ting
Pigwa riat kwa mnoko ni mating ting
Toka siaka nikisetoka kwa scene ting
Pigwa riat kwa mnoko ni mating ting
Piga shifla za kizing ting
Pigwa riat kwa mnoko ni mating ting
Anza guoko toka dinti
Pigwa riat kwa mnoko ni mating ting
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Ting Ting (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MBOGI GENJE
Kenya
Mbogi Genje also known as "Sheng Masters" is a group of three artists from Keny ...
YOU MAY ALSO LIKE