Home Search Countries Albums

Dundaa

SABA GANG

Dundaa Lyrics


Jea jea
Saba gang! 
(puffs smoke) sshhhh

Ni wikendii zishikie tu kwa dundaa
Ni kumedii niko bash na manguna
Ni kumbleki na mashash zimerunda
Ati pewa glass pewa ass pewa thutha

Kanapenda kuinama kakizungusha haga
Na daily kamenyanya kapate kwenye dundaa
Nipate dundaa nikivunja mifupa
Na daily zimerunda na kajaba alutaa

Kujinice na wasupa ndo fom ya dundaa
Mkatishee mizinga amalize na machupa
Napenda hio style mummy kwanza unavyokata
Ju niko dundaa... Katikati ya wasupa
Zimenishiiika, naskia kumburuka
Ambia dj, pull up! Pull up! Pull up hiyo ngoma
Na mbogi itazitoka
Madame wakirombosa
Mashadda zikiwaka
Nikikata maji na glass mezani
Dundaa inashiika dundaa inanice
Waambie wakam nao

Ni wikendii zishikie tu kwa dundaa
Ni kumedii niko bash na manguna
Ni kumbleki na mashash zimerunda
Ati pewa glass pewa ass pewa thutha

Kanapenda kuinama kakizungusha haga
Na daily kamenyanya kapate kwenye dundaa
Nipate dundaa nikivunja mifupa
Na daily zimerunda na kajaba alutaa

Napenda zikitwerk zikikam hii side
Napenda zikiwaka na mamoshi ndani ya club
Zimenice.... Nipe glass na hizo ice
Msupa whine... Ameiva na kingwai
Na hizo njegii...amebeba simuweki
Napenda hio figa magizani utawika
Ati sunday kamjengaa
Thondeka mawegaa
Shake hio dinaa...mbona unaringa
Kwanza kwenye rinda na vile una figa
Ati unaogopa mimba, nitakukemba
Bila cd ama movie kwenye keja
Baki na bra hebu toa weather
Nikukembe jo vile umeweza
Kwenye njegii..  Pia haga umebeba

Kanapenda kuinama kakizungusha haga
Na daily kamenyanya kapate kwenye dundaa
Nipate dundaa nikivunja mifupa
Na daily zimerunda na kajaba alutaa

Ni wikendii zishikie tu kwa dundaa
Ni kumedii niko bash na manguna
Ni kumbleki na mashash zimerunda
Ati pewa glass pewa ass pewa thutha

Kanapenda kuinama kakizungusha haga
Na daily kamenyanya kapate kwenye dundaa
Nipate dundaa nikivunja mifupa
Na daily zimerunda na kajaba alutaa

Ati dundaa inashiika
Dundaa inanice
Waambie wakam nao
Tujinice kujinice,
Jea!

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Dundaa (Single)


Added By : Xtiger

SEE ALSO

AUTHOR

SABA GANG

Kenya

Saba Gang are Kenyan musician ...

YOU MAY ALSO LIKE