Home Search Countries Albums

Ganji Lyrics


Mueke fine si unajua nakuwanga fisi
Akijipa sikatai mi nadishi
Naichapa hadi atoe kamisi
Woii aii nduru ya kasisi

Ganji, ganji alidai tuma ganji
Nikarembo ndio kanasaka ganji
Ganji, ganji alidai tuma ganji
Keki gani siezi kata ju ya ganji

Ganji, ganji alidai tuma ganji
Nikiwakanja si nakata mali safi
Ganji, ganji aki uiii ganji
Uko wapi tukashushane mapongi

Kuna vile kuna joto na bado ni kuslippery
Vile tumevunja na bado kuna misery
Siezi shinda lotto sidai hizo lottery
Tingiza mahips kinyoka ki slithery

Niko kidale si upitishe ka payslip
Ka ni ganji utalipa na na kacheque please
Na ni keki nilishakapiga cuffing
Kameshika rangi nikakabandika coffee

Ganji, ganji alidai tuma ganji
Nikarembo ndio kanasaka ganji
Ganji, ganji alidai tuma ganji
Keki gani siezi kata ju ya ganji

Ganji, ganji alidai tuma ganji
Nikiwakanja si nakata mali safi
Ganji, ganji aki uiii ganji
Uko wapi tukashushane mapongi

Nabambuka nikistagger
Nikupiga ngeso mbegu imejaa maga
Niko waba ni kusaka tu mareka
Ka ni vundo natingua bila njeka

Niko ndole sina hata nyiff
Vile niko kidale shang ndo nagrease
Nikuwapigisha riu maithaa ya giz
Nistagge na mamali zikizidi biz

Kuna kadem kwanza kanaitwa Nancy
Kamebeba utadhani ni umati
Maringo nayo kamesunda kwa magoti
Ati mita saba bei ya mahari

Mahari slippy better ninunue bahari
Nikakunywage chang'aa na mabangi
Puff twende chain nikiongeza machave
Zikiraru shada shada fangi gani

Ganji, ganji alidai tuma ganji
Nikarembo ndio kanasaka ganji
Ganji, ganji alidai tuma ganji
Keki gani siezi kata ju ya ganji

Ganji, ganji alidai tuma ganji
Nikiwakanja si nakata mali safi
Ganji, ganji aki uiii ganji
Uko wapi tukashushane mapongi

Ati siku hizi tuko boxer wakijifunga nappy
Niite king solomon madem wangapi
Wakuje tu wawili ama wakuje wathirty
Slayqueen, ghetto pongi ama wanati

Ganji ni kadem ka maganji
Kanapenda pia maji na cannabis
Mababi, kina Iano, Owen na Nduati
Fisi wafuasi wa nginyo na gwati

Mmmh aah, uuuiii aah
Shot moja mere lugha ni ya money
Kila siku ka ibada chapisha punani
Machaji washazoea kusnadi ndani

Unataka nini mami, mi najua unataka ndizi
Unataka nini babe, mi najua unataka miti
Unataka nini mami, mi najua unataka miti
Taka miti, taka miti,  mi najua unataka miti

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Ganji (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MBOGI GENJE

Kenya

Mbogi Genje also known as "Sheng Masters" is a group of  three artists from Keny ...

YOU MAY ALSO LIKE