Home Search Countries Albums

Damu ya Yesu

LADY BEE

Damu ya Yesu Lyrics


Damu ya Yesu inazungumza mema
Damu ya Mwana kondoo inazungumza mema
Inazungumza zungumza inazungumza mema
Inazungumza zungumza inazungumza mema

Pale Calvary alisema yamekwisha
Pale Calvary Yesu alisema yote yamekwisha
Ni nani atakayeanza kazi yeye mwenyewe alimaliza
Ni nani atakayemaliza kazi yeye mwenyewe aliyeanza

Damu ya mwokozi 
Ilinitoa kwa minyororo ya dhambi
Damu ya mwokozi 
Ilinitoa kwa minyororo ya dhambi

Damu ya Yesu inazungumza mema
Damu ya Mwana kondoo inazungumza mema
Inazungumza zungumza inazungumza mema
Inazungumza zungumza inazungumza mema

Wana wa Israeli 
Walipaka damu kwa nyumba zao
Wakati mwangamizi
Alipita hakuruhusiwa

Kwa sababu ya damu
Alipitapita juu
Ila waliokosa alama ya damu
Waliangamizwa

Leo kuna damu iondoae dhambi zote
Leo kuna damu zaidi ya waliopaka
Leo kuna damu iondoae dhambi zote

Damu ya Yesu inazungumza mema
Damu ya Mwana kondoo inazungumza mema
Inazungumza zungumza inazungumza mema
Inazungumza zungumza inazungumza mema

Damu ya Yesu huponya magonjwa yote
Inazungumza mema
Saratani hata ukimwi inaponya magonjwa yote
Inazungumza mema

Waliofungwa na adui damu ya Yesu inawakomboa
Inazungumza mema
Waliokosa amani damu ya Yesu inaleta amani
Inazungumza mema

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Damu ya Yesu (Album)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

LADY BEE

Kenya

Bernice Nduku stage name Lady Bee is a Kenyan gospel artist. She started singing early&nbs ...

YOU MAY ALSO LIKE