Inama Lyrics
Inama chutama, we mwana me nishadata
Mikasa Sucasa, tuwe njeve kishanta bana
Gyal me ni ule mbaya,
Tena na wingi zile za Timmy dat
Baby, una fire fire
Nishajikoki, mi ndio nina fire
Baby we mtamu kama keki
Kwanza aki vile umeseti
Inama kama unapiga deki
Kisha nitapenya ndio nibleki(aah)
Tuliza mawenge(aah)
Keja niko solo sina genge(aah)
Tuliza mawenge
Keja niko solo sina genge
Baby do that(baby do that)
Nikupee pia mdude
Baby do that(baby do that)
Nikupee pia mdude
Sasa hebu,
Hebu inama(inama), inama
Nikikuona baby inama(inama)
Inama(inama)
Inama(baby inama)
Nikikuona baby inama(baby inama)
Inama(baby inama)
Inama(baby inama), beiby
Okwonko, bang bang geuka nikubang
Vile unanicheki unadai mjulubeng
Tunachapana sitto hadi kwa bed
Si kama haraka leo ni deng deng deng
Napiga hesabu vile uko fine
Chora namba saba, chora 69
Hapendi Nairobi hakuna miti
Anataka wet climate Imenti
Whine dat ting
Gal move gal bang dat ting
Gal so fine when yah move that cake
Gal so thick like chocolate milk shake
Gal dem shake, bend it over
Ride my ting like a Range Rover
Scream my name over and over
In and out and under the cover
Me a mister lover like boom
Inama(hey), inama(hey)
Nikikuona baby inama(hey), inama(hey)
Inama(baby inama)
Nikikuona baby inama(baby inama)
Inama(baby inama)
Inama(baby inama), beiby
Najulikana kuinamisha nanga
Size inahitaji usaidizi kuamka
Utaipata cup inaweza ku balance
Ukichapa kadogo kanaenda ina bounce back
Unabaki bila words blue ticks
The more the merrier so you invite your room mates
Utajua aje good day ni rude days
Kanasimama kwanza ukifunga shoe lace
Ah iyo ni masaa nione, tena we ni fan oyee
254 I run, tens girls wanna get my sumtin
Niko busy, sina sina time for the freaking yeah
Hii ni tizi, niko job ninala afisi beiby
Ah gat it for real dawg
2, nikishine kwa billboard
Gotta couple of friends
I could kill for you
Talking to the young king
Please be careful
Wewe ni kama siafu
Mimi ni kama gurudumu pale kwenye njia kuu
Wengine wamefyatu
Wengine wakikuja wanabaki wameface tu
Beiby me nadai form, hips za kudie for
Baby do that(baby do that)
Nikupee pia mdude
Baby do that(baby do that)
Nikupee pia mdude
Sasa hebu,
Hebu inama(inama), inama
Nikikuona baby inama(inama)
Inama(inama)
Inama(baby inama)
Nikikuona baby inama(baby inama)
Inama(baby inama)
Inama(baby inama), beiby
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Inama (Single)
Copyright : (c) 2019.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
LOFE
Kenya
Lofe aka Lofe Moneymall is the CEO of MoneyMall RECORDS & MoneyMall Foundation. He also co-works ...
YOU MAY ALSO LIKE