Home Search Countries Albums

Abra Cadabra Lyrics


Haidhuru, Haidhuru
Chura Kam tamu, Walai Naishuku,
Mavo weka beat, Hapa Banger ndio tupu
Mziki naiserve, Doba naiongeza supu
(WOOOOOH)

Ati Abra  kadabra  huyu manzi ni (AAAH)
Ala  Kazizi yéyé hupenda (AAAH)
Hana mizizi zii si kafiri
Si ni machizi, hii doba ni (WAAH)

Hii doba ni wah (WAAH) Hii doba ni kali
Hii doba ni tamu ki sugar sukari
Hii doba ni hadi lamu imevuka bahari
Hii doba ni high Hii doba ni dope

Dope, patana na dem,Kwa klabu ako shy tu
Kufika kejani tabia zake sheituu (AAAH)
Ugali ketepa anamix hadi chai tuu (WAAH)
Nadai atoke na jibu zake Ghai soon (WOOOOH)

Anadai typhoon
Anadai kitu na crown akae juu
Ametoka town na kiki zake ni kuu
Ex wake hakusikia akavunjika miguu

Ati Abra  kadabra  huyu manzi ni (AAAH)
Ala  Kazizi yéyé hupenda (AAAH)
Hana mizizi zii si kafiri
Si ni machizi, hii doba ni (WAAH)
Ati Abra  kadabra  huyu manzi ni (AAAH)
Ala  Kazizi yéyé hupenda (AAAH)
Hana mizizi zii si kafiri
Si ni machizi, hii doba ni (WAAH)

Abra Kadabra , huyu manzi ni bruh
Kabla nimpate, aliniitanga bruh
Tumbler na mkate, ye hukatanga bruh
Na bra ikikwama, si hukatanga bra (BRAAA)

Jipe iko sana , Kama unataka  (RAAH)
Njia ni pana, unaweza pita na (KAAH)
Venye me hukaa, venye nimetoka far ( FAAR)
Nadai nidunge suti, imeundwa na fur (FUUR)
Yaani vile inafaa (FAA)
Yaani vile navaa (VAA)
Yaani vile nawavaa, hadi wanashtuka Ghai FA FA ( AAAH)

Ati Abra  kadabra  huyu manzi ni (AAAH)
Ala  Kazizi yéyé hupenda (AAAH)
Hana mizizi zii si kafiri
Si ni machizi, hii doba ni (WAAH)
Ati Abra  kadabra  huyu manzi ni (AAAH)
Ala  Kazizi yéyé hupenda (AAAH)
Hana mizizi zii si kafiri
Si ni machizi, hii doba ni (WAAH)

Muyinga, (AKCHUU)  nishakubless
Msupa ni wako, kejani mi naundress
Haisuru, Haidhuru,
Si ni wasafi, sugar, sukari nguru
Flow nishauua, na ukiiba Waiguru
Mavo Beat guru, doba kwa mbulu

Ex ananidaidai juu ya kutu
Ati amevaivai, na hana mtu
Najua sina manzi, lakini nina mary na Jane
Mi Niko able, chunga vile unacheza kane
Abra Kadabra, snap nimeshampea pain
Ala ka zii , snap nita do it again (WAAH)

Haidhuru, HaidhuruChura Kam tamu, Walai Naishuku
Mavo weka beat, Hapa Banger ndio tupu
Mziki naiserve, Doba naiongeza supu (WOOOOOH)
Ati Abra  kadabra  huyu manzi ni (AAAH)
Ala  Kazizi yéyé hupenda (AAAH)
Hana mizizi zii si kafiri

Si ni machizi, hii doba ni (WAAH)
Ati Abra  kadabra  huyu manzi ni (AAAH)
Ala  Kazizi yéyé hupenda (AAAH)
Hana mizizi zii si kafiri
Si ni machizi, hii doba ni (WAAH)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Abra Cadabra (Single)


Copyright : (c) 2021 Black Market Records.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MAVO ON THE BEAT

Kenya

Mavo on the Beat is an artist/producer from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE