RIP Kiama Lyrics
Hii itakuwa ngumu kiasi
Hii ni a celebration of life
Kiama Sammi, aka Tuesday, alikuwa juu mse
An encouragement kwa wale wame-lose a loved one
Put your drinks up, put your lighters up
Nimekuwa hell nikarudi
Nimeanza kuwa tu poa juzi juzi
I always told myself I couldn't do this
Lakini cheki God right now I'm a new being
Last year nimetulia najiskizia
Alafu phone ya matha inaingia
Ati mzae wangu hashiki simu akimpigia
Tangu jana bado missed calls hajaziskia?
Ku-panic! Matha akaishia
Mi na bro tunaogopa a-confirm our worst fears
Ni ukweli, mzae amededi
His body lying lifeless he fought but couldn't make it
Mathangu ndio alimpata
Unaeza imagine ile trauma ilimchapa
Akanipigia simu akilia
Tosh kuwa strong lakini mzae ameishia
Kuiongea ni kuitoa
Na kuitoa ni kukuwa poa
Si kuiongea ni kuitoa
Na kuitoa ni kukuwa poa
Kuiongea ni kuitoa
Na kuitoa ni kukuwa poa
Si kuiongea ni kuitoa
Na kuitoa ni kukuwa poa
The hardest thing about death
It hits you much later when you prolly don't expect
Nasaka solace kwa tei
Drugs ndani ya system but uchungu haipotei (I'm numb)
Nacheki sister aki-trip
Dad's own favourite ukweli ali-flip
My family was such a mess
Unajua uchungu ya kukuwa depressed
He used to play chess with finesse
Anaacha nishinde then later I was the best
Guess, kitu ashai-niambia tukipoa
Fight for your rights ukishikwa ndakutoa
Matha anakumiss yu-shinda aki-reminisce
Ukimwekeanga ma-mix za akina Redding Otis (Ah)
Shiru nim-strong of late
Dunco kazi ni kuku-imitate (Atalaku)
Wajukuu wame-grow
Tevin, Theo, Nala ni wazuri overall (That's right)
I have to give thanks to the Lord
Na bado jina yako lives on (Ah)
Ulikuwa such a gentleman
Mtu wa watu, loved by everyone
Wish ungekuwa hapa uone niki-top charts
Rest In Peace Kiama, always in our hearts (Ey)
Kuiongea ni kuitoa
Na kuitoa ni kukuwa poa
Si kuiongea ni kuitoa
Na kuitoa ni kukuwa poa
Kuiongea ni kuitoa
Na kuitoa ni kukuwa poa
Si kuiongea ni kuitoa
Na kuitoa ni kukuwa poa
Kifo inaeza dunga dunga roho kama kisu
Uone maisha yako sio kitu
Wapendwa wetu twaweke moyon
Mola waliotuwacha waeke pema pepon
Kifo inaeza dunga dunga roho kama kisu
Uone maisha yako sio kitu
Wapendwa wetu twaweke moyon
Mola waliotuwacha waeke pema pepon
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : RIP Kiama (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE