Home Search Countries Albums

Inaniaffect Lyrics


Mi siwezi ishi na wewe na hizo makizungu zote
Too much English too much, too much
Inaniaffect, inanisuffocate
(Mavo on the beat)

Inaniaffect (Maintain)
Inanisuffocate
Inaninyonga (Aii vumilia tu)
Inanisuffocate

Inaniaffect (Maintain)
Inanisuffocate
Inaninyonga (Aii vumilia tu)
Inanisuffocate

Wanashuku hizi beats lakini Mavo
Spendi chakacha lakini Yvonne
Kama huna job so come unblow

Tdat Kasabunian boy
Nalean back mi si talk too much
Mi si smooth kama wale maboy wa don't rush
Mi sijui kubembeleza ka sabuni nateleza
Kuteleza si kuanguka nikianguka kwa hii beat
Inaninyonga na nikislide in inanisuffocate

Inaniaffect (Maintain)
Inanisuffocate
Inaninyonga (Aii vumilia tu)
Inanisuffocate

Inaniaffect (Maintain)
Inanisuffocate
Inaninyonga (Aii vumilia tu)
Inanisuffocate

Inaninyonga eeh hadi mi nimeanza kukonda wee
Mi nafeel tu mapain toka kwa my chest
Venye tu madem wako on my case
Aki Harry unanibamba mi  nataka uniarrest
Uniteke juu ya desk, cheza chini
Mi staki kuwe tu na ordeals
Nisuffocate nimarinate tu, ooh yes

Nadai chuma flani itanisuffocate
Namshow ata ahame mi nitamlocate
Kabaya mclassy saa zingine mi ni riet
Bado naishi kwa mzazi so tupatane kwa gate

Haga like this, body fiti like this
Nguna si ni hustler toto physically fit
Nikatie na MPESA ka huezi niacha please
Mi hubonga revenue ka ni free exit

Inaniaffect (Maintain)
Inanisuffocate
Inaninyonga (Aii vumilia tu)
Inanisuffocate

Inaniaffect (Maintain)
Inanisuffocate
Inaninyonga (Aii vumilia tu)
Inanisuffocate

[Mbokotho]
Baba blacksheep
Kizungu ati ni lugha ya masoshi
Blah blah bullshit 
Kizungu na huna hata noti

Kimombo huku ghetto ni hasara
kiburi mingi na umekunywa KEG ya hashara
Bladclat tunabonga tu biashara
Lugha tu mnajua ni besha shigana

[Joefes]
Inaniaffect inasuffocate
Kate alinishow ID's have a date
Kufika kwao tulifunga hadi gate
Aliget D but ngoso ye haget

Nilikuja early nikakam late
Kwa bed tulichoma ngwai na habet
Dem ni mplayer Koinange
Ainame raundi nane

Inaniaffect (Maintain)
Inanisuffocate
Inaninyonga (Aii vumilia tu)
Inanisuffocate

Inaniaffect (Maintain)
Inanisuffocate
Inaninyonga (Aii vumilia tu)
Inanisuffocate

[Fathermoh]
Kwani we ni mchina, njoti na si mahira
Pongi na si naila, dollar na si Naira
Inatoa njoto panty mami patiana
Ananyonga nugu after ngwati patiana

Panty ati hana, ngwati kwani laana
Staga staga zagazaga paka tu mnyama 
Kwama kwama paka mate mi kwa bado chama
Inakuchoke na bado sija kukukukumanga

Wewe umeanza ku over-do!

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Inaniaffect (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MAVO ON THE BEAT

Kenya

Mavo on the Beat is an artist/producer from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE