Tai Chi Lyrics
Nguo kaishona wanajuta walioif umua
Leo mungu kanionaaa kanijibu zangu dua
Penzi mbaazi nakula huku najirambaa aah
Kaniunga kwa nazi samaki nampara magambaa
Kula m’bakishie baba sibakishi mi navimaliza
Na kama tonge likinikwama yeye ndo maji ananituliza
Ukitaka za tai chi (sawaaaaahhh)
Hajapigwa anacheza mwali nina degree (ayaaa)
Tui sitemi nameza
Baby hi indo style gaani (ooohh tai chi)
Mbona umeganda hewani (ooohh tai chi)
Vurugu kwakwaru kama nyani (ooohh tai chi)
Kwani mwalimu wako nani (ooohh tai chi)
Kanipa yote nidambue udambu udambu nirumbue
Kaniruhusu niamue, nitake nini nichague
Nifunike unifunue, nibandike unibandue eeh
Kula mbakishie baba, sibakishi mi navimaliza
Na kama tonge likinikwama yeye ndo maji ananituliza
Nikitaka za tai chi (sawaaaaahhh)
Hajapigwa anacheza mwali nina degree (ayaaa)
Tui sitemi nameza
Baby hi indo style gaani (ooohh tai chi)
Mbona umeganda hewani (ooohh tai chi)
Vurugu kwakwaru kama nyani (ooohh tai chi)
Kwani mwalimu wako nani (ooohh tai chi)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Tai Chi (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
RUBY
Tanzania
Ruby real name Hellen Majeshi is a Tanzanian Musician and a beauty queen. She is popularly known for ...
YOU MAY ALSO LIKE