Sing'oki Lyrics
Masauti, Kenyan Boy 001
Hanaga vitisho
Alivyo mrembo katoto kadogodogo
Hashoboki na mabishoo
Hanaga shobo njaro zake simple simple
Ananipa michecheto, kasherie coco
Can I call you baby baby o
Tui la nazi coco, coconut oh
Be my baby oh
Unanifanya niwike kijembe
Najikutua magawa
Na kote unakesha
Ka popo bawa, bawa
(Ka popo bawa, bawa)
Kichwa mbona kiume, naweka medicine
Akili imechachawa, chawa
Fanya mambo tuwe sawa, sawa
Tuwe sawa, sawa
Jinsi nimependa walai
Vipi mi nitaua nipende uwe mine
Anything for you baby I don't mind
Love me jeje nikupe vitu fine fine
Jinsi nimependa walai
Vipi mi nitaua nipende uwe mine
Anything for you baby I don't mind
Love me jeje nikupe vitu fine fine
Mi kwako sing'oki, sing'oki
Sing'oki sing'oki
Nasema sing'oki, sing'oki
Sing'oki sing'oki
Hata akili iwe divert
Sing'oki sing'oki, singoki
Hata kwa panga ama bastola
Sing'oki sing'oki, singoki
Sa kape nyonga, zako mi nitahonga
Sema shingapi, mi nitalipa
Katoto ka Ronga, karembo kamasai
Daily kameshona yaani kako gado
Baby put your body on me
Baby don't do corny
I wanna show you my skills
Until you call me daddy
Ndizi umependa walai
Vipi mi nitaua nipende uwe mine
Anything for you baby I don't mind
Love me jeje nikupe vitu fine fine
Jinsi nimependa walai
Vipi mi nitaua nipende uwe mine
Anything for you baby I don't mind
Love me jeje nikupe vitu fine fine
Mi kwako sing'oki, sing'oki
Sing'oki sing'oki
Nasema sing'oki, sing'oki
Sing'oki sing'oki
Hata akili iwe divert
Sing'oki sing'oki, singoki
Hata kwa panga ama bastola
Sing'oki sing'oki, singoki
Oh baby girl okay
Can you come over today
Basi vaa tutoke
Nikupeleke kwa mama akupokee
Ah baby girl okay
Can you come over today
Basi vaa tutoke
Nikupeleke kwa mama akupokee
Jinsi nimependa walai
Vipi mi nitaua nipende uwe mine
Anything for you baby I don't mind
Love me jeje nikupe vitu fine fine
Jinsi nimependa walai
Vipi mi nitaua nipende uwe mine
Anything for you baby I don't mind
Love me jeje nikupe vitu fine fine
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Sing'oki (Single)
Copyright : (c) 2021 Dream Nation
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE