Yupo Lyrics
Wayahudi, wakiwaziwa mambo mabaya na Wamisri? (Alikuwepo)
Na Yusufu, wakimuuza ndugu zake kwa Waishmaeli? (Alikuwepo)
Kaka wewe, ilipobidi jukumu kujitwika baada ya baba kutoroka?
Na dada wewe, ulipoteseka, maswali chungu nzima, alikuwepo!
Yupo Yupo
Yupo Yupo
Yupo Yupo
Yupo Yupo
Ukishahidiwa mambo mabaya dhidi yako? (Alikuwepo)
Ukifurushwa 'toka kwenye ndoa na mme wako? (Alikuwepo)
Mtoto wewe, ulipokua tangatanga tena omba omba, wazazi bado wapo
Na mama wewe, ukidharauliwa na kusemwasemwa, alikuwepo!
Yupo Yupo
Yupo Yupo
Yupo Yupo
Yupo Yupo
"Siogope, mimi nipo pamoja na wewe,
Sifadhaike, mimi ndiye Mungu wako.
Nitakuimarisha na kukusaidia,
Siogope, siogope, mimi Mungu nipo"
Yupo Yupo
Yupo Yupo
Yupo Yupo
Yupo Yupo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Yupo (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE