Kung Fu Lyrics
Aaaah
Mutoto ya Pamela
Naskia kelele kwa jirani
Kwani ni vita
Ama hii ni raha gani
Mwengine anasema aaah
Mwengine anasema uuuh
Kwani mapenzi imegeuzwa kuwa kungfu
Na vile kwangu kunabore
Naskiza mafranco
Hii ploti itanifanya niwe whore
Action night
Watoto walale by 9
Nikudunge vaccine
Leo movie ni ya shaolin
Vita vya kikungfu kungfu
Dj Afro kuja utangaze drama
Vita vya kichinku chinku
Kabla mechi ianze mgongo ntakukanda
Tumefungana pingu pingu
Moja kwa mguu nyingine kwa kitanda
Okello Mano kungfu kungfu
Bien Mena kungfu kungfu
Woi woi mama
Woi Woi mama
Unazunguka kama nyoka, Anaconda
Woi Woi mama
Woi Woi mama
Unateleza kama mrenda, Haki nimependa
Kiss it better vile napenda
Mix ya broiler na kienyeji vibes
Hebu geuza oh Cheriè samaki hailiwi pande moja
Action time
Action night
Ufike kwangu by 9
Nimetema taxin
Amenyoa shaolin
Vita vya kikungfu kungfu
Dj Afro kuja utangaze drama
Vita vya kichinku chinku
Kabla mechi ianze mgongo ntakukanda
Tumefungana pingu pingu
Moja kwa mguu nyingine kwa kitanda
Okello Mano kungfu kungfu
Sudah Mano kungfu kungfu
Cheriè nipeleke Thailand
Na mimi nikupeleke Bangkok, yeah
Tuishi juu ya island
Tuishi maisha ya kibailando, yeah
Kuja tufanye mambo mambo
Nikukunje nikufunze angle angle
Movie na soundtrack ya Bango bango
Action unapewa ni ya Rambo
Action night
Ufike kwangu by 9
Nimetema taxin
Amenyoa shaolin
Vita vya kikungfu kungfu
Dj Afro kuja utangaze drama
Vita vya kichinku chinku
Kabla mechi ianze mgongo ntakukanda
Tumefungana pingu pingu
Moja kwa mguu nyingine kwa kitanda
Sudah Mano kungfu kungfu
Bien-iame a kungfu kungfu
Okello Mano kungfu kungfu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Boss (Album)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
OKELLO MAX
Kenya
Okello Max is a singer, songwriter, performer and entertainer from Kenya. ...
YOU MAY ALSO LIKE