Leo ni Leo Lyrics
Masauti, Kenyan boy
Ooh oh oh oh oh
Motif di don
Leo ni leo(leo) huh
Leo ni leo(leo) huh
Leo popote nazamaga
Chombo chochote nabebaga
Uwe mwembamba au umenona
Chombo chochote nabebaga
Girl I like your mini dress
Unakunywa nini we
Unataka nini we
Leo mi ndio ndingire
Bado mapema haiya
Waiter ongeza tena haiya
Shoti za tequilla, eeh
Waongeze tena haiya
Leo leo, nionyeshe chachandu
Leo leo, kwenye chako kiuno
Leo leo, cheza kwa maringo
Leo leo, cheza kwa maringo leo
Leo ni leo(leo) huh
Leo ni leo
Leo ni leo(leo) huh
Leo ni leo
Your thunder thigh, me likey that
Leo ni mimi nawe
Don't be shy, me likey that
I wanna feel your waist
Whine your, whine your waist
Make it vibrate
Ibane kwa chini we
Wee mama weee...
We usijali
Ukiwa nami
Bills on me
Just relax girl
Leo leo, nionyeshe chachandu
Leo leo, kwenye chako kiuno
Leo leo, cheza kwa maringo
Leo leo, cheza kwa maringo leo
(Leo leo)
Ooh ooh oh oh oh oh
Ooh ooh oh oh oh oh
Move your body like a snake girl
Whine your waist like Shakira
Body Vera Sidika
Na leo kitaeleweka
Leo ni leo(leo) huh
Leo ni leo
Leo ni leo(leo) huh
Leo ni leo
Leo ni leo...
Leo ni leo...
Leo leo, nionyeshe chachandu
Leo leo, kwenye chako kiuno
Leo leo, cheza kwa maringo
Leo leo, cheza kwa maringo leo
(Leo leo)
(Leo leo)
(Leo leo)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Leo ni Leo
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE