Home Search Countries Albums

No Stress

MASAUTI Feat. TRIO MIO

Read en Translation

No Stress Lyrics


Oh yeah yeah yeah (Aha Trio Mio)
Oh nah nah nah (Masauti Kenyan Boy 001)

No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun

(Mavo on the Beat)

I say burry your problems
For a minute thank God for your life
Live true and honest to yourself you should never lie
Usikufuru uchome, rada safi bora tu kujinyc

Put a smile on your face
Haya maisha you live once
Whichever the matter the case o
Nashukuru Mungu anabless o

Usiskize maneno ya watu utakonda eeh (Utakonda eeh)
Juhudu na hustle ni zako
Kujituma na kumwaga jasho
Chorea maneno ya watu utakonda eeh (Utakonda eeh)

Kama ni wa kushikisha shikisha
Ni wa kulewa, lewa
Ni wa kuchoma choma
Lewa shikisha

Kama ni wa kushikisha shikisha
Ni wa kulewa, lewa
Ni wa kuchoma choma
Lewa shikisha

No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun

No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun 

Unataka kujibamba usiogope
Basi kula tungi mpaka ulewe tepe tepe
Yani hapa leo full sheshe
Pombe ni nyingi na zipo aina zotee

Shiro nishatuma fare 
Utakuja ama utakula?
Kina carol wako juu ya mashisha
Wanavuta wakichachisha

Shiro nishatuma fare 
Utakuja ama utakula?
Kina carol wako juu ya mashisha
Wanavuta wakichachisha

Mbona tujitie stress 
Si tunakula bata ile kinyama
Sitaki mtu anipimie 
Nafanya nachokitaka ni yangu hela

Kama ni wa kushikisha shikisha
Ni wa kulewa, lewa
Ni wa kuchoma choma
Lewa shikisha

Kama ni wa kushikisha shikisha
Ni wa kulewa, lewa
Ni wa kuchoma choma
Lewa shikisha

No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun

No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun 

[Trio Mio]
Niko stress free, nabugia mashuksha
Sinia ina sambusa za kishelisheli
Watu ni kujaza belly ndo Mwaura asiitike
Kamnyweso kakishika usijiaibishe
Hapo fiti nina flow ka sakafu imenyeshewa
Umelemewa, usi pro usijichoche utakemewa
Over there kuna wasupa wana machupa za Belaire
Konyagi wako pale hao tushawazoea

Trio dogo janja, msela wa majanta
Nina Masauti nawakunywa kama Fanta
Fun tuna have sa madem waje chapchap
Hapa ukilegeza jo utatiliwa mataptap

No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun

No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun
No stress have some fun 

Kama ni wa kushikisha shikisha
Ni wa kulewa, lewa
Ni wa kuchoma choma
Lewa shikisha

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : No Stress (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MASAUTI

Kenya

Masauti, aka Kenyan Boy is a singer and songwriter from Kenya.   ...

YOU MAY ALSO LIKE