Home Search Countries Albums

Olewa Lyrics


Tutamake, tutaforce
Tutatry tutaforce tutamake
Na hata tukitry , tutaforce
Tutamake tukitry tutaforce
Pause

Nipe breki
Nipe glucose nitableki
Hii mapenzi heavy heavy
Ni mzito ni mzito
Roho inashuka Kwa matumbo
Hii sio gear two na hii ni turbo
Umenimaliza nipee tumbo
Hata mum ataelewa hii ni wendo
Huyu kijana ni mhandsome
Akona dreadi na Hana haraka
Kwanza ako na Ile smile mi hutafta
Aki akinivunja roho mi ntamsema

Tutamake, tutaforce
Tutatry tutaforce tutamake
Na hata tukitry , tutaforce
Tutamake tukitry tutaforce

Ju mi nahema
I can't breathe nipe hewa
Usiniguse nimeolewa
Ju mi nasema, kama sio huyu mi nasepa
Huyu till forever mi nakwama

Baby girl
We ndo wangu Tu
Nishike Tu mkono twende mpaka juu
Kwangu me, we ndo mwisho wa mawazo
Ju mashawry wa kando wanaleta Tu vikwazo
Still remember the first day I met you
Counting my blessings got me feeling special
One plus one ni me na wewe Tu
Mother of my kids si ni dream come true
Diamond ring on your finger spend my life with you
That smile on your face inaniua boo juu
Meno maziwa kill the kiu tu
Apple of my eye si nipige bite Tu?

Tutamake, tutaforce
Tutatry tutaforce tutamake
Na hata tukitry , tutaforce
Tutamake tukitry tutaforce

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Olewa (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

TERRY WAMAI

Kenya

Terry Wamai is a musician from Kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE