Riebebe Lyrics
Ladies and gentlemen I go by the name Jabidii
(Again go Sevil) Jabidii again
Zinaniriebebe, zinaniriebebe
Zinaniriebebe, riebebe mbaya
Ni kama nimelewa nimelemewa
Kuna wengine wanadhani najidu
Nimesoma neno zikaripoti
Zikanishika toka kichwa hadi miguu
Tryna adi one man, Bible imeriebebe
---
Free, Jabidii me here babe
Ata ndani ya club, gospel pure riebebe
Zimeriet zimeshika zimeriebebe mbaya sina worry
Nimesoma word zikaripoti
Zinaniriebebe, zinaniriebebe
Zinaniriebebe, riebebe mbaya
Vako zako zinaninyce, riebebe
I have read about you, zinaniriebebe
Zinaniriebebe, riebebe mbaya
I said your word aki balaa imenirunda
Utadhani nimeshika bunda
Kuishi fiti, kuishi na -- anaishi Runda
Utadhani daily niko Runda
Ju amenipa happiness
Amenipa tenderness
Amenipa peace --
Nimesoma neno zikaripoti
I will read again
Saa hizi nimeriebebe, riebebe mbaya
Zinaniriebebe, I have read about you
Zinaniriebebe, I have read about you
Zinaniriebebe, riebebe mbaya
Zinaniriebebe, I have read about you
Zinaniriebebe, I have read about you
Zinaniriebebe, riebebe mbaya
Zikiriebebe wagonjwa wanapona
Nasema zikiriebebe mapepo yatoroka
Zikiriebebe peace inaniriebebe
Nasema zikiriebebe napata nguvu tena
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Riebebe (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE