Mwingine Acapella Lyrics
No no no
I don't want nobody else but you
Nobody else, I don't want nobody else
Eeh nobody else, I don't want nobody else
Mara ya kwanza kupatikana na we
Tena kusemezana na we
Nilikuwa niko low, so low
Katika hali niliyokuwa mie
Wewe ukanipenda bure
(Ukanipenda bure)
Na sasa nataka wajue eeh
Unapenda kilichotengwa na binadamu
Na tena unainua
Kilicho shushwa na binadamu uuh yeah
Unapenda kilichotengwa na binadamu
Na tena unainua
Kilicho shushwa na binadamu yeah
Vile nakaa na vile navaa
Najua ni wewe
Siezi ringa ndio maana naimba
Kweli ni wewe
Vile nakaa na vile navaa
Najua ni wewe
Siezi ringa ndio maana naimba
Kweli ni we
Umeniwai na sitaki mwingine
Niwai na sitaki mwingine
Niwai na sitaki mwingine
Umeniwai na sitaki mwingine
Niwai na sitaki mwingine
Niwai na sitaki mwingine
Niwai na sitaki mwingine
Umeniwai na sitaki mwingine
Oooh oooh ooh yeah
Oooh oooh ooh yeah
Sijui binadamu
Anaishi vipi bila we
Kila mara nikitry
Napata nimerudi kwako
No no no
I don't want nobody else but you
No no no
I don't want nobody else but you
Unapenda kilichotengwa na binadamu
Na tena unainua
Kilicho shushwa na binadamu uuh yeah
Unapenda kilichotengwa na binadamu
Na tena unainua
Kilicho shushwa na binadamu yeah
Vile nakaa na vile navaa
Najua ni wewe
Siezi ringa ndio maana naimba
Kweli ni wewe
Vile nakaa na vile navaa
Najua ni wewe
Siwezi ringa ndio maana naimba
Kweli ni we
Na umeniwai na sitaki mwingine
Niwai na sitaki mwingine
Niwai na sitaki mwingine
Umeniwai na sitaki mwingine
Niwai na sitaki mwingine
Niwai na sitaki mwingine
Niwai na sitaki mwingine
Umeniwai na sitaki mwingine
Nobody else
I don't want nobody else but you
Nobody else
I don't want nobody else but you
Nobody else
I don't want nobody else but you
Nobody else
I don't want nobody else but you
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Mwingine (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE