Home Search Countries Albums

Lela Lyrics


Pizzo de
Lela, Lela
8 Town, 8 Town Pizzo de

Chupa mbili mbili
Bill nipe mimi  after hapo mi silipi
Watu silly silly 
Kichwa bila akili mnaingizwa na injili

Nyumba biggy biggy penda sitting bana
Hakuna mkeka hapo chini
Tei zii, pyenga zangu limbi
After hapo nipe ngingi

Seashell ni seashell tupe skimbi
Uji zangu zote wimbi
Niite bana we ni bibi
Cashmoney bila Wizzy yeah

Ukihalla namba busy
Soma bio hii ni physics
Cashmoney bila Wizzy yeah

Za ovyo hapana penda mimi
Otoyo nyama zangu nyingi
Company toka bara yeah
King Pizzo de, eey reign niko set

Umbelela lela (Lela)
Umbelela (Lela lela)
Umbelela lela (Lela)
Umbelela (Lela lela)

Okhovhina nzuke (Nzuke)
Okhovhina (Nzuke nzuke)
Okhovhina nzuke (Nzuke)
Okhovhina (Nzuke nzuke)

Myella myella, myella, myella, myella
Myella myella, myella, myella, myella eey 
Yella, yella, yella, yella, yella 
Yella yella yella, yellaaa 

Myella myella, myella, myella, myella
Myella myella, myella, myella, myella eey 
Yella, yella, yella, yella, yella 
Yella yella yella, yellaaa 

Siji jiji mimi niko kijijini
Shamba ndio mazoezi (Weuwe)
Mashimoni lindi buda hadi lini
Utakuwa zero grazing

Tuko busy sisi 
Nyinyi kila wiki pale baze mko lazy
Double Zz - Zidane 
Nikoben sikuchezi

Ambia kaka, si ndio mambang'a
Ukishikwa piga simu bana 
Nisafishage rada 
Yangu ni murder na sikuifanya

Stenje eeey, broke hata tenje
Zetu ni nganya na ni za wanga 
Ohanga (Don) Jina langu wanalapa
Washarada nani namba
Usichoke kaza kamba 
Kamba fupi panda ladder
Superstar uliza NASA 

Umbelela lela (Lela)
Umbelela (Lela lela)
Umbelela lela (Lela)
Umbelela (Lela lela)

Okhovhina nzuke (Nzuke)
Okhovhina (Nzuke nzuke)
Okhovhina nzuke (Nzuke)
Okhovhina (Nzuke nzuke)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Jungle Fever (Album)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

OCTOPIZZO

Kenya

Henry Ohanga, commonly referred to by his stage name Octopizzo is an award winning, recording and pe ...

YOU MAY ALSO LIKE